Recent content by Second Lieutenant

  1. Second Lieutenant

    Wapi zilipo ofisi za UFUKUDA?

    Habari za asubuhi wadau, jaman nina shida na umoja wa wafugaji dar UFUKUDA, nataka kwenda office kwao ,sijuhi wako maeneo gani, naona huu umoja kama umekufa nataka nikawaamshe, wafugaji tunakufa njaaa bei mbayaaaa za mayai na broiler
  2. Second Lieutenant

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Thanks but mimi nataka crossed largewhite +Landrace+Duroc
  3. Second Lieutenant

    Pullets/Kuku wa mayai ambao wako tayari Kutaga wanauzwa TZS 12000 mmoja

    Nicheck kwenye number yangu tu mkuu, nipo dar
  4. Second Lieutenant

    Pullets/Kuku wa mayai ambao wako tayari Kutaga wanauzwa TZS 12000 mmoja

    Habari za leo wajasiriamali, Napenda kuwaletea biashara ya Pullets/kuku wa mayai ambao wametuzwa kwa uangalizi wa hali ya juu ma kulishwa chakula bora kabisa cha CP,wanapatikana kwa bei zuri kabisa ya TZS 12,000.Walikuwa Pullets 15000,sasa hivi wamebakia wachache kama 2000 tu,kama uko tayari...
  5. Second Lieutenant

    Kupanda kwa garama za ufugaji (with fixed price of broiler meat and eggs)

    Hizi garama zimepanda due to several factors but major ones are ; 1.Kupanda kwa maligafi kama mahindi ambayo kilo moja ni 1000/TZS pamoja na Soyabeam ambayo is vattable (processed raw material ),katika uzalishaji wa vyakula vya kuku mahindi ni 50% of all raw materials, Soyabeam ni 15% ,ongezeko...
  6. Second Lieutenant

    Kupanda kwa garama za ufugaji (with fixed price of broiler meat and eggs)

    Habri za leo wana JF, Kwa wale wote tunaofuga tunajua ni kiasi gani chakula cha kuku kimepanda na bado tunategemea chakula cha kuku kuanzia tarehe 1/10/2015 kitapanda kwa ongezeko la 18%,kutokana na hii bidhaa kwa na ongezeko la kodi (VAT). Kutokana na garama za kuzalisha kuwa juu na bado...
  7. Second Lieutenant

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hongera sana mkuu, but mimi nilikuwa nataka combination ya Dulock+Landrace+Largewhite coz tunategemea kuanzisha project ya nguruwe ambayo later tutaaanza kuuza chakula cha nguruwe kama walivyo wauzaji wa chakula cha kuku.
  8. Second Lieutenant

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Anayetaka video ya mabomu Mwanza Whatsapp me 0717332652
Back
Top Bottom