kitu kingine mkuu usichokijua tofauti yetu na waislamu , wakristo wengi hatufungi kula kama waislamu wengi hufanyanyo bali sisi tumejikita kufunga matendo yetu maovu na kijikita kuomba toba na kusali sana huku ukiwa mtu wa kusaidia wengine wasiojiwezi ndio wakristo wengi mfungo wao upo hivyo...
inakuwaje avijaze wakati sio vya lazima ni optional hapo pa kujaza ni qualification tu lkn pia hii system inafanya watu kukosa nafasi ya kuapply maana its too much kwakweli huyu server wao wanaomtumia sijui ARUTI poor na kwanini kila kipengele ikijsza lzm iroad kwanini isisubir umalize kujaza...
kuna hii shida hapa almost nusu saa sasa nahangaika jinsi ya kurudi kujaza taarifa za elimu ya chuo ila sipati pa kurudia mwenye uelewa nime stuck hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.