Recent content by Secki

  1. Secki

    Tanzia: Chifu wa Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa afariki dunia

    Kama kina MKWAWA SIO WAHEHE ni wanani???Pitia vizuri historia hasa vita ya majimaji RIP Chief Mkwawa
  2. Secki

    Huu utamaduni ukiufikiria utakusaidia sana na waweza kuwa mtaji kwa wafanyabiashara

    Duh,kumbe mtu unaweza kufanya hivi!!:shock:..bora nimejua,asante mkuu kwa darasa
  3. Secki

    Hatimaye nimefika,hodi hodi wenyeji

    Baada ya kuhangaika jinsi ya kuingia sasa nimeweza:cheer2: Habarini za Asubuhi,Kamwene,Bonjour,Mjewale ko Wanyabo na Wasebo,Good Morning,.......siwezi kumaliza zote ila kwa kifupi leo hii ni mgeni wenu
Back
Top Bottom