Recent content by SechalaD

  1. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Waliopata nafasi kwenda JWTZ mwaka huu washaanza kozi?

    Mbili tu.... Msata na Oljoro
  2. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maswali ya Interview, nafasi ya Afisa Biashara

    Nangojeka pia kwenye hili.... wakuu toeni muongozo plz
  3. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Me mdada bhana
  4. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Hawana shida na ulichosomea mkuu..... ndo mana pale wameandika std7, form4, form six na degree hawajachanganua.. so jaribu tu
  5. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Unaandika barua ya maombi then unaipeleka inapigwa muhuri wa mkiti wa mtaa na hapo mkti hapigi muhuri mpaka uee na barua kutoks kwa mjumbe wako kuwa anakutambua then afisa mtendaji wa kiji afu na muhuri wa afisa mtendaj wa mtaa... hapo ndo uatoa copy vyeti vyako vyote bila kusahau living...
  6. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Dar wanamuamko sanaa kila fursa wao wanparamia so jua ushindani ni mkubwa sana
  7. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Ndo hvyo ww anzia Dar utahadithia
  8. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Chaaa! Form ni stage ya mwisho kabisa mkuu ukiona umepewa form that means ndo ushakuwa mzalendo rasmi
  9. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Tunao tarajia kwenda JKT tukutane hapa tupeane ujuzi

    Kama upo Dar naomba nikushauri tu kuwa utafute nauli ukaingilie mkoani huko mbali kabisa maana huku utapoteza muda tu huwaga nyomi lake ni balaa
  10. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Ni miaka 15 sasa tangia nianze kunuka sehemu za huku chini

    Pole sana kaka, aisee jaribu ulilonalo nikubwa mno.... Nimejiweka kwenye viatu vyako ila havinitoshi. Kwanza pongezi nyingi kwa mpenzi wako aisee mana kama kweli harufu hiyo haistahimiliki hata kwa wapita njia cpati picha unayelala naye. Mm nimkatoliki na napenda nikupe tu faraja kuwa hata...
  11. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Utumishi acheni mambo ya kishamba

    Me nikiamka nawachungulia, kabla cjalala nachungulia tena... Yani daaah watoe tu hayo majina jomoni[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  12. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu Interviews za Oral za Utumishi

    Revenue
  13. SechalaD

    JamiiForums Tanzania Utumishi mbona kigugumizi kutoa majibu ya interview ya oral nafasi za TRA? Je haki itatendeka

    [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Back
Top Bottom