Labda niulize swali la changamoto kwann Lowassa amekua agenda kbwa kwa ccm?? Kwann wasi nadi Ilani yao? Kwanin wasieleze dhamira yao yaktmikia wananchi? Nauliza maana wanatmia nguvu kbwa kmnadi Lowassa kupitia vijana wao kmtusi,kuandamana, waigizaji kumiigiza, midahalo kjadili Lowassa tuu...