Hapa hakuna vita ya dawa za kulevya, bali kuna visa na visasi ingalikuwa ni vita ya dawa hizo kweli, bidhaa hizo sisingalikuwa sokoni hata sasa. Fanya utafiti kidogo tu, wahoji baadhi ya mateja,(chondechonde usije tumia akili za pombe, hakika watakumeaga ubongo.)utabaini kuwa bidhaa hizo zipo...