Recent content by seba305

  1. S

    JamiiForums Tanzania Eti mwanangu wa darasa la nne apewa homework "who is Richard Turbull"

    Yanini sasa, Hayo mambo yalitakiwa yawekwe maktaba, mtua akiona kuna anahitaji kujua basi ataenda maktaba.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Je kuwaota ndugu au marafiki waliofariki ndivyo wanavyotokea au ni tofauti na kutokewa

    Failure to let it go.. ukaribu, utegemezi nk, ndio unafanya watu wengi tushindwe kukubaliana na ukweli kuwa wapendwa wetu hatukonao tena, na ukishindwa tu Lazima utapata shida.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 35 huna familia, gari, nyumba wala mashamba... Unategemea miujiza gani kutoka Mbinguni?

    Maisha yakikushinda achana nayo..
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya "MAANA" ?

    Ni kinachomaanishwa kwenye neno.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimepiga Mahesabu nakuta Nachanganyikiwa. Yaani Mpaka Mtanzania Kuwa Billionaire Inahitaji miaka zaidi ya 50

    Kwanza mkuu haruhusu mtu awe billionea...anataka wote tuwe sawa(Maskini)...[emoji3]
Back
Top Bottom