Kwanza uwe na barua ya mwaliko.
Status yako hapo Tanzania,
shughuli unayofanya.
Ukienda utakua n Pesa kiai gani,
Kwa ajili y matumizi..
Utafikia kwa nani,
Utakaa muda gani,
Nani atabeba gharama zako Ukiwa kule.
Hakuna short cut ya kupewa visa bila interview.
Ukipata visa, ndipo unakata ticket...