Pesa za ndani ambazo zimefichwa na viongozi waafrica huko nje ya Africa, zinazidi hadi bajeti zetu za ndani kwa mwaka.
Na mzungu siyo Fala akukopeshe pesa yake, anacho fanya ni pesa zile zile ambazo viongozi waafrica wanaficha nje, wao wanazirudisha kuzikopesha nchi nchi hizo za Africa tena kwa...
Hizo zilikuwa taarifa za awali/dodoso,lakini taarifa za uhakika zimekuja 2 to 3 days later.
Huyo mwanajeshi mwenye bendera ya rwanda kwenye combat yake unae mwona hapo hayuko kwenye ardhi ya DRC, bali hapo ni mpakani ambao wanakaguliwa kuingia Rwanda.
The same na wale mamluki wa Romania 300...
1.Walio jisalimisha siyo wote, kuna wanajeshi bado wanaendelea kupambana pale pale Goma, na kwenye vita ukizidiwa na alafu mabosi went hawafanyi chochote kuokoa maishani yenu ni sawa tu kwenda kwa adui aokoe maisha yako.
2.Adui waliyejisalimisha siyo kwenye jeshi la Rwanda kama unavyosema, wale...
Hakuna jeshi la DRC limejisalimisha kwa jeshi la rwanda Acha kupotosha watu.
Walio jisalimisha wamejisalimisha kwa waasi wa M 23 siyo kwa jeshi la RWANDA.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaoonesha jeshi la rwanda linapigana mashariki mwa DRC.
Taarifa rasmi zilizopo ni kwamba RWANDA Inaunga...
Duniani kwa sasa kuna rasilimali kubwa 3 tu ambazo zinategemewa sana duniani, yaani muhimu kama ilivyo mahitaji mahitaji matatu ya binadamu (maji,chakula na malazi).
Rasilimali hizo ni GOD .
1. G - stands for GOLD (Dhahabu)
2. O - stands for OIL (mafuta) &
3. D -stands for DIAMOND (Almasi)...
Hata kwa hesabu tu ya kipofu jambo lako haliwezekani.
Fananisha uchumi wa South Africa na Rwanda alafu uone nani anaweza kugharamia vita kwa mda mrefu na kumiliki zana za kisasa za vita.
Angalia population ya South Africa ni zaidi ya milioni 80 alafu population ya rwanda ni ni almost milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.