Recent content by SEAN_OLUTAYO

  1. SEAN_OLUTAYO

    Lema na wafuasi wake wavamia kituo cha polisi

    Kwa sisi tunaoishi Arusha, tunayafahamu haya yotee! Tunajua nini kinaendelea hapa mjini! Hatusimuliwi kama baadhi yenu nyie ambao mko sehemu mbalimbali mnavyopata habari. Njoo hapa Arusha, ukae kwa majuma mawili na uone hawa jamaaa TPF wanavyofanya kazi zao kwa ushawishi na msukumowa kisiasa...
  2. SEAN_OLUTAYO

    Kiongozi wa CHADEMA amepoteza Maisha kwenye Mlipuko wa Bomu Arusha

    Kuna kitabu / novel tulisoma wakati tuko Form Two, inaitwa "ALL BAD THINGS COME TO AN END" vivyo hata kwa hili, vyote hivi vitakuwa na mwisho wake na ukweli wooote utajulikana. ushauri wangu kwetu sooote na hasa viongozi wote wa CDM na CCM na Polisi (TPF) na TISS na JWTZ (TPDF) watunze aidha...
  3. SEAN_OLUTAYO

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    hii kitu hii ya https://soundcloud.com/#newsaddict/serukamba, kweli sasa huko Kigoma ni ajabu!,
  4. SEAN_OLUTAYO

    Leo Nimeamini kuwa Hatma ya Nchi hii Ipo Mikononi mwa Vijana wa CHADEMA

    Naikataa........... na mambo yake yote, na fahari zake zote na anasa zake zote na wizi wao wote na ufisadi wao wote na dhuluma zao zote na ukandamizaji wao wote na unyanyasaji wao wote na uonevu wao wote. Eeee Mungu nisaidie
  5. SEAN_OLUTAYO

    Ni aibu ujumbe unaongozwa na Rais Kikwete kupokewa na Waziri wa Mambo ya Nje Uholanzi

    Amekwenda kutaliii na kuonyeshwa wataalam wa mbegu na miche ya miti! Huyu ni Vasco da Gamma, ndugu yake na Carl Peters
  6. SEAN_OLUTAYO

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    KIUKWELI WATU TUNATOFAUTINA SANA TENA SANA! KI-MTAZAMO, KUCHAMABUA MAMBO, KUJADILI HOJA, KUWAELEWA WENGINE WANAPOZUNGUMZA NA HASA KUSOMA BTN LINES, KUDADISI, NK. NI UKOMBOZI WA FIKRA NDIO TUNAOHITAJI KWA SASA KABLA YA MAMBO YOTE. KUNA VIJANA WENZETU WENGI SANA AMBAO HADI SASA (kati ya...
  7. SEAN_OLUTAYO

    Anne Makinda: Hoja binafsi marufuku kuanzia sasa!

    Kama mamlaka zote zinatoka kwa MUNGU! Je hata hiii nayo imetoka kwa mungu? Je ni mungu yupi huyo alietoa mamlaka hii? Kwangu binafsi ninaamini kuwa mamlaka hii haikutoka kwa MUNGU yule ninaemwamini mimi, ambae jina lake ni YAHWEH / YEHOVA. kwa kuwa MUNGU wangu si mungu wa hovyohovyo, wala si...
  8. SEAN_OLUTAYO

    Tamko la makanisa kuhusu gesi Mtwara

    amina wachungaji kwa kutuonyesha njia! Mmetimiza wajibu wenu!
  9. SEAN_OLUTAYO

    CHADEMA inatisha, yaisambaratisha CCM huko Muleba (uchaguzi wa vijiji) - 2015 ni balaa

    Kinana anamaliza Ndovu, Tembo na wanyama wetu wengine. JK nae anatumia mali asili zetu (gas ya Mtwara) kuwakomboa wana wake (Prince na Riz-One na Me-R-G) wanapokamatwa kwa dawa za kulevya huko china. Eti gas yetu ndo bond ya mtoto wa rais asinyongwe! Gen. She-M-B-O nae na Vitrioni vyetu huko...
  10. SEAN_OLUTAYO

    Hon. Tundu Lissu on Hamza Kasongo hour

    Shida yetu sisi kwamba tulishanyweshwa maji ya bendera ya Vinana na Mangula! ndo mana hata macho yetu hayasikiii wala masikio yetu hayaoni. "watu wanapotea kwa kukosa maarifa" sasa Advocate Tundu Antipasi Lissu anakupa maarifa, mijitu inasema hana lolote. Huu ni upuuuzi mtupu. Kwa kuwa tuu Tundu...
  11. SEAN_OLUTAYO

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Zimeingia iveco tatu na defender kadhaa za jwtz jana usiku hapa masasi za kikosi cha infantry cha nachingwea! Na sasa kumetulia kidooogooo lakini mambo bado yanaendelea kichinikichnini na wananchi wanajipanga upya na kuanzisha move mpya
  12. SEAN_OLUTAYO

    Waziri Wassira agonga mwamba sakata la uchinjaji nyama Mwanza!

    sasa kama hivyo ndivyo basi, Tutawaomba hawa jamaa zetu waislamu waje hata huku kwetu kwenye machinjio ya Nguruwe watuchinjie na Pork kwa kuwa hata wengi wao siku hizi wanakula nguruwe. Au je ni kwa sababu nguruwe anachninjwa na wakristu ndo maana hawataki kumla? Tunawaomba waje kutuchinjia...
  13. SEAN_OLUTAYO

    Mkutano wa CCM mkoani Iringa 'wafana'

    alianza na Steven Seagul, akafuata Usain Bolt, then Schwarznegger, then Drogba, baadae 50 Cent, mara Tutorial Assistants wa Columbia University, mara kaenda kubembea jamaica, mara na Jacob Zuma, then atapiga picha na hata kaburi la marehemu Bruce Lee na Michael Jackson.
  14. SEAN_OLUTAYO

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    ni maelekezo ya serikali kuogopa kuvuliwa nguo!
  15. SEAN_OLUTAYO

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    nilikuwa Msemo Hotel (mjini Mtwara) mchana wa leo, Nikamuona Chagonja na RPC wa Mtwara wakiwa wanakula kuku kwa juisi. Nikajiuliza, Hivi viongozi wa NGAZI ZA JUU WA JESHI LA POLISI wako hapa wanatumbua kuku, Kama ingekuwa wanaokufa kule Masasi wangekuwa ni wazazi na ndugu zao je wangekuwa hapa...
Back
Top Bottom