Usafiri wa boda boda ni moja ya usafiri pendwa sana katika nchi yetu, Pia ni moja ya njia ya usafirishaji inayokuwa kwa kasi sana katika nchi yetu.
Hebu angalia hapa kitakwimu tu, kutoka mwaka jana ,2022/2023 mpaka kufikia mwezi machi zilikuwa zimetumika karibia Dola milioni 139 sawa na Pesa...
Baada ya kutokea sintofahamu hali ni kama ilivyo hivi sasa
===
Wafanyabiashara wa Soko la Simu 2000 lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo, Dar es Salaam mapema Leo, Alhamisi Oktoba 19, 2023 wameandamana sambamba na kufunga Barabara wakishinikiza Mamlaka za Serikali kuwapatia taarifa...
Hizi habari za kusikitisha na kuumiza sana kwa wakazi Ubungo,
Nilivyosikia ni kuwa Stand ya Simu2000 inataka kubadilishwa matumizi na kuwa KARAKANA YA DART,
Kama habari hii ni yaukweli basi niswala lakusikitisha na kuwakosea wanaubungo.
Kubadilisha Matumizi ya stand hii na Soko ni muendelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.