Recent content by Scrofer218

  1. S

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Dadeki Mimi hadi nishachokaga
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wazawa wanaweza kujenga Reli na Barabara

    Wazawa tunawaza upigaji, Mkandarasi anawaza kupiga vifaa vya ujenzi, mfamasia anawaza kupiga madawa,... Upigaji, upigaji, upigaji..... Namkubali sana marehemu mh.JPM hakuacha kuwaambia ukweli ya kua ni wezi wanapewa kazi wanaharibu. Lawama zote zinaenda kwa serikari inajenga miundombinu mibovu.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali ya Lori na Hiace mkoani Tabora

    Hiace inabeba abiria wangapi kwani? Hii ni uroho wa fedha kuhatarisha maisha ya watu.
  4. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je wajua: Wanawake wa Vijijini wanathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi kuliko Wanawake wa Mijini?

    Kiukweli hii forum mnajitaidi sana kutetea wanawake Kila kukicha. Sipendezwi na hizi jitihada sababu zama zimebadilika tunasahau sana vijana wa kiume, wanapotea...... Research again.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Aliyeongoza Kikosi cha wauaji walioagizwa kuniua ni Paul Makonda, ndio maana Marekani ilimzuia

    Hizo ni propaganda Kila mtu anajaribu kujifanya mwema. Mimi sioni Cha msingi hapo sababu kuelekea uchaguzi ndio Lissu amekua akiibua mambo mengi ambayo hayana uakika wa kua kweli au lah Naeza sema ni siasa chonganishi na kutafuta kick za kuonekana anafaa kua kiongozi akati hana sera za...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Mbona Kila siku wanawake,....?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Meneja wa MORUWASA asimamishwa kazi

    One love Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Umoja wetu kwa maendeleo ya Taifa. Wazembe hawatufai.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu vip mwelekeo wa majina ya usaili
Back
Top Bottom