Recent content by Script

  1. Script

    Marais 20 na wasaidizi wao Afrika wafanyiwa ujasusi

    Acha na mimi niwape yangu. Tusijidharau bhana, sisi tupo juu kwa teknolojia. Kwhyo la muhimu ni mipango na kuwawezesha kifedha na mashirikiano wasomi wetu.
  2. Script

    Nawezaje kuanzisha upya(Reset) account yangu ya facebook?

    Habar zenu wana Jf Naomba msaada kuwa: vipi naweza kuanzisha upya(reset) akaunti yngu ya facebook? Ahsanteni.
  3. Script

    Startimes wanaonesha fainali za UEFA?

    Hivi ving'amuzi vya Star times havina uwezo wa kupata channel za mpira kwa ku crack by frequency kwani?
  4. Script

    Msaada :how to connect two laptops and transfer file by LAN cable

    Inawezeka ndio, bt unatakiwa uwe na wire wa twisted pair wire (TP) na kutengeneza ip address kwa kila compute unayotaka kushare kupitia local area connection
Back
Top Bottom