Bila shaka kitufe kina namba inayoendana na karatasi uliyopewa,Je namba ya kitambulisho inayonakilishwa kwenye kitufe kinachobaki kwenye kitabu cha karatasi za mpiga kura si ushahidi tosha iwapo kutakuwepo na sababu ya kujua nani kampigia nani?.Ila sema zoezi la kufanya uhakiki ni gumu sana.
Naomba kuuliza, nimekutana na wakala wa chama cha upinzani anatoka kuapishwa lakini hawakupatiwa nakala ya kiapo. Je, hii imekaaje? je, nakala ya kiapo haikutakiwa kutolewa kwa wakala mla kiapo? Naomba nijuzwe tafadhali.
Utaratibu huu ukikamilika na kufanyika kwa adabu haina shida,uwezekano wa tume kupitiwa kutoa vituo vya mawakala ni mkubwa kama walivyosahau kuwakumbusha wasimamizi wa uchaguzi kutoa barua za rufaa kwa wabunge na madiwani walioshinda rufaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.