Recent content by Scottland Queen

  1. Scottland Queen

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

    1. Nenda kwa kushtukiza kwa mchumba wako, 2. Kagua simu yake... 3. Tafuta sababu ya kugombana naye kivyovyote 4. Ugomvi ukitokea iwe sabab ya kumwacha wala usimwambie chochote kuhusu mwenye mimba 5. Baki na mwenye mimba
  2. Scottland Queen

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu za kumkamata mchawi

    [emoji849]
  3. Scottland Queen

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi. Kipi Bora kati ya kufa ukiwa kijana na kuacha legacy na kuishi maisha marefu bila ya legacy yoyote?

    Mi naona n bora kuish maisha marefu, Ukifa ukiwa kijana sababu ya legacy hiyo legacy haita kusaidia chochote ukiwa kaburin.
  4. Scottland Queen

    JamiiForums Tanzania Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

    "Maneno ya mwisho"[emoji3517].
  5. Scottland Queen

    JamiiForums Tanzania Naapa kujiua

    Usijiue, tambua kwamba kwenye hii dunia hakuna kinachoganda yaan kila kitu huwa kina pita hata hzo hisia ulizo nazo sasa zitapta n suala la muda tu. Kama ulivyosema wachaw wana kuandama bas tambua wanataka ujiue ili wakakutumikishe. Mshirikishe Muumba wako akupe aman ya moyo wako kila kitu...
Back
Top Bottom