Recent content by Scolari Ndenga

  1. Scolari Ndenga

    BAVICHA yatangaza bingo kubuni nembo

    BAVICHA hawana Deep Green, Meremeta, Kagoda wala Tan Gold kama Chama Chako cha Magamba.
  2. Scolari Ndenga

    BAVICHA yatangaza bingo kubuni nembo

    Hongera zako kwa kuwa mshapu!.
  3. Scolari Ndenga

    Bavicha: 800,000 "educated illiterates" in the job market

    Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA limesema kila mwaka mfumo wa elimu ya Tanzania wa kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne peke yake unazalisha wajinga waliosoma takribani 800,000 kwenye soko la ajira. Hii ni hatari kwa taifa linaloendelea kama Tanzania. Endelea kujisomea mwenyewe hapo...
  4. Scolari Ndenga

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Kimsingi Waislamu wenzetu hawana logic. Kwa nini kama Wakristu waliamua kuchinja wanyama woa kwa matumizi yao theni wakavamiwa na hata mchungaji kuuwawa. Kwa nini Wailsmau walivamia hata yale mabucha yaliyotengwa na Wakristo? Kuna kitu zaidi ya dini hapa kimefichika and we need to find out!
  5. Scolari Ndenga

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Tatizo kubwa ni Serikali kuendeshwa kwa VIONJO kama wanafalsafa wanavyosema. Matukio ndio msingi wa serikali ya CCM ni sio kufikiri kwa umakini na kuichambua misingi yake mikuu ambayo ni katiba ya nchi. Tusipoangalia Tutaingia shimoni muda si mrefu kama taifa!
  6. Scolari Ndenga

    Hili la kuchinja lisitugawe, Linazungumzika

    Naomba niseme wazi kuwa yaliyotokea Geita kati ya Waislamu na Wakristu kuhusu suala la kuchinja wanyama ni matokeo ya uzembe wa serikali ya kutokuwa na uwezo wa kuweka kumbukumbu sawa. UDHAIFU Waziri Wasira aliropoka kuwa wenye haki ya kuchinja ni Waislamu na Waziri Mkuu Pinda karudia tena kuwa...
  7. Scolari Ndenga

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Bhati mbaya sana sijawahi kuuona huu waraka. Alini kumbukumbu zangu pia zinalandana na zako hasa pale CCM na serikali yake ilioona waraka wa Kanisa Katoliki kwa waaumini wake mwaka 2010 ni shubiri na kuanza kulizonga kanisa na ni kweli Pale Mwanza Kadinali Pengo alimpa makavu rais Kikwete na...
  8. Scolari Ndenga

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Huu nao ni umbea usio na tija. Dr. Slaa antoka wapi hapa? Akili fupi kweli kweli!
  9. Scolari Ndenga

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Huo sio utaratibu wa viongozi wa kikatoliki. Kahamishwa kwa sababu kulionekana hitaji sehemu nyingine tofauti na Dar es salaam na yeye akaonekana nafaa huko. Hayo unayoysema ni maneno ya kuokoteza vichochoroni
  10. Scolari Ndenga

    Kardinali Pengo, Simama au na wewe staafu kama yamekuzidi...

    Na wala asisimame kwa sasa kama unavyotaka kwani takapofavya hivyo wataangamia wengi wasio hata na hatia kwa biashara haramu ya udini. Bora awe mwafidhina hivyo hivyo kwa sasa. Hali itakuwa mbaya sana kama hili dhehebu mwamba la kikristo lenye mizizi mapaka serikalini litatoka kwa staili...
  11. Scolari Ndenga

    Kikao cha kamati ya uratibu wa kanda na uzinduzi wa kanda ya kaskazini

    Kamuulize mwenyekiti wako wa chama chako muasisi wa uchafu huo.
  12. Scolari Ndenga

    Kikao cha kamati ya uratibu wa kanda na uzinduzi wa kanda ya kaskazini

    Kwa sababu kaskazini wametumia mamlaka waliopewa wakajipanga na wanasonga mbele.
  13. Scolari Ndenga

    Hatma ya ubunge wa mbunge wa Meatu (CHADEMA) kujulikana kesho Jijini Dar es Salaam

    Kumbuka kuna ile ya sumbawanga ambayo CHADEMA inakaribia kuigaragaza CCM. Pia usisahau ile ya Igunga ambayo ni by election ya mwaka 2011
  14. Scolari Ndenga

    Hatma ya ubunge wa mbunge wa Meatu (CHADEMA) kujulikana kesho Jijini Dar es Salaam

    Wadau, Kesi ilifunguliwa na wanachama wa CCM kupinga matokeo ya ubunge wa Meashaki Opulukwa wa jimbo la Meatu kupitia CHADEMA iliamuliwa na kumpa ushindi Meashaki Opulukwa kati kati ya mwaka jana. Kama ilivyo kawaida, wanachama wa CCM wa huko Meatu walikata rufaa na rufaa hiyo inatarajiwa...
  15. Scolari Ndenga

    Munishi: Chadema haiko tayari kuiacha nchi iendelee kuwa chini ya panya by 2015

    Kwa mwenendo wa matukio ya mkutano mkuu wa CCM mwezi uliopita, ni haki kauli hii ikatendewa haki na CDM. Kupotoka kwa CCM kuwatumia watumishi wa umma kwenye mikutano yao ya hadhara, ni halali kwa kauli hii kutendewa haki kwa kufanya Homework vizuri.
Back
Top Bottom