Recent content by Scode

  1. S

    Kwa nini gazeti la TanzaniaDaima halisomwi na TBC1????

    Pamoja na kuwa gazeti kongwe mara nyingi huwa halisomwi???? kuna mtu yupo nyuma ya hili????? na lengo lake ni nini????? katumwa na nani????? je, atafanikisha hilo agizo???????? octoba 25 tufanye maamuzi sahihi ili vyombo vya habari viwe huru
  2. S

    Updates: Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA, Tanganyika packers Kawe jijini Dar

    Hivi kwa nini wanaCCM wengi hawapendi kuutumia usemi huo wa Mwl kuhamasisha mabadiliko ya kimaendeleo ndani ya CCM ili watanzania wasiende kuyatafuta nje ya CCM???? Watanzania muda umefika sasa twendeni tukayatafute mabadiliko ya kimaendeleo nje ya CCM kama Baba wa Taifa Mwl. J.K.Nyerere...
  3. S

    Nimeokoka lakini msichana wangu hajaokoka nifanyaje?

    hapo ndo mwisho wa akili yako sishangai.!!! kwani ndani ya RC hamna wokovu? Ina maana wakatoliki hawampokei Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yao? kama hawampokei wanampokea nani?? akili za kitoto hizo kujiona bora kuliko mwenzako katika imani
  4. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    asanteni wakuu kwa michango yenu na wengi mmenishauri nimuoe huyo nesi!!! kuna kitu kinaitwa "choose the lesser evil" wataalamu wa saikolojia kama wapo watuambie ni madhara kiasi gani yatatokea endapo nitachagua kuishi na mtu nisiyempenda kisa mtoto tu na kulinda heshima yake na wazazi wake na...
  5. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    kugegeda sio lazima mpaka upende!!!! machangudoa wangekuwa wanapendwa na kila mmoja
  6. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    to me sex is a pleasure and not a love
  7. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    too much hasira is dangerous for your health pita tu kama huna mchango
  8. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    hamna haja ya kukasirika mama ndo yashatokea cha msingi toa mawazo yako nifanyaje
  9. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    all in all nawashukuru wote walionitukana kwa sababu nafaa pia kutukanwa ila sio njia ya kurekebisha tatizo, nawashukuru pia waliopita ila kucomment chochote nao pia walimaanisha kitu wanachokifikiria wao na hasa hasa nawashukuru wakuu Pasco na georgeousmimi kwa ushauri wao wenye hekima na...
  10. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    dah...!!! mkuu asante sana kwa ushauri wenye hekima na busara....!!!! i wish you could be my friend physically and not only online!!! but i hope we shall be friends! wengine naona wananiponda tu hawanisaidii. yaliyotokea yametokea you can not reverse!!!! no need to blame instead toa somo ueleweke
  11. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    asante mkuu japo umenichapa kidogo kwanza...!!! mimi nmejipima niko vizuri kwa sasa ila ntapima tena baada ya miezi 3 ili kupisha "window period". Kusema kweli nesi sikumpenda nahisi sitapata raha ya maisha nikiachana na mchumba wangu niliyempenda kwa dhati..!! suala la kuoana na nesi hapo...
  12. S

    WANAUME: Epuka kumwoa Mwanamke kwakuwa ana Mimba yako!

    Kuna dada mmoja anasoma chuo cha nursing huku Iringa ameniambia ana mimba yangu baada ya kufanya mapenzi bila condom mwezi moja uliopita. Pagumu ni pale atakaponiambia nimuoe kwani sina hata chembe ya upendo kwake isitoshe nina mchumba niliyempenda na kupanga kumuoa. Niko tayari kumhudumia...
Back
Top Bottom