Walizani Tutawachiliya Walikuja Ni Michachali Paka Wakafunga Goal Moja Wakazani Ni Mwisho Kumbe Klabu Letu Ilikuwa Mkali Zaidi Kuzidi Ata Kali Za Pilipili Paka Ika Wawasha Nakuwa Sumbusha Goal Ine Kwa Moja 4-1 Uruma Sana Na Wamezimika Nakukatika Mtandaoni
Kuna wanamuke Na Mwanamuke Ambaye Amejieshimu Ata Upepete Ulimi Kama Kisaga Mahindi Kwake Ni Bure Ata Utumiye Iyo Mbinu 15 Kwake Ni Porojo Tu Na Cha Muhimu Shetani Wa Kwanza Ku Wadada Zetu Ni Pesa Tu Ata Ukuwe Mzée Ukiwa Na Pesa Watajileta Wenyewe Wapate Wanachotaka
Simba Afanyi Lolote Congo Aliye Fanya Kwao Ni Upuhuzi Tu Sasa Kwa Tarifa Yake Tunamchunga #Lubumbashi Apate Goal Na Ajuwe Kama Wakongo Ni Wabaya Kweli Tp_mazembe Kiboko Yao Mfundisha Watoto
Mimi Ni Kijana Wa Myaka 21 Tokea Inchi Za Congo Kwenyi Jimbo La Tanganyika Sasa Unamawazo Gani Ukijiunga Na Marafiki Wa Kike Nawa Kiume Kuhusu Andiko Lako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.