Recent content by SCHRUMBEGER

  1. S

    JamiiForums Tanzania Diwani wa CHADEMA afanya Mauaji huko Kagera

    Kata ya Rutoro iko katika Tarafa ya Nshamba, jimbo la Muleba Kasikazini, Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera. Diwani wa kata hiyo Bw. Abubakary Said (CHADEMA) amebambikiziwa kesi ya mauaji ya watu wanne ambao mauaji yao yametokana na mgogoro wa ardhi kati ya Wawekezaji (waliomirikishwa vitaru maarufu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & M4C: Kuelekea 2015 yakemeeni haya Kagera!.

    Mtoa mada hajataja Jimbo lolote zaidi ya kutaja mkoa wa Kagera akimaanisha wilaya na majimbo yote. Labda kuna jambo unalijua katika jimbo la Muleba ambalo mtoa post kaligusa moja kwa moja. Yote ya yote ni vema kuyakemea mambo hayo hapo juu ili tuweze kupata ushindi 2015.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA & M4C: Kuelekea 2015 yakemeeni haya Kagera!.

    Kumeanza kutokea tabia isiyokuwa ya kuridhisha kwa baadhi ya watu hasa wale wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu 2015 kupitia CHADEMA. Wamekuwa kama CCM, maana wameanza kugombania majimbo, wameanza kutengeneza fitini mara huyu ni pandikizi n.k. Ni vema tukaiacha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    Kweli kabisaa Kamanda Mwainunu, tena umesahau jingine kuwa mbali na kutofika kwenye kampeini hizo viongozi hao wote pamoja na Ngurumo walifanya kila mbinu kahakikisha tunakosa ushindi ili wadhihirishe fitina zao kwa Kamanda Najim Kassange kuwa amevuruga jimbo. Lakini bila hata aibu baada ya...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo awamwagia Pongezi za ushindi kwa Makamanda wa CHADEMA!

    Kweli ushindi mtamu!!!!!!!!!!!!!!! ila nikukumbushe mambo yafuatayo Bw.Ansebert Ngurumo; 1. Kuwa makongamano ya vijana yaliyofanyika Muleba Kasikazini mwezi December, 2012 hayakufika kata Katoke ambapo ndo tumeshinda vijiji viwili vya Katoke na Kahumulo. (Jitahidi yafike pia) 2. Kuwa mpira...
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    Nipatie majibu wahusika tafadhari msipuuze!
  7. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    Hongereni kwa ushindi lakini pale Kamachumu wanakotoka katibu na mwenyekiti wa jimbo wa chadema, kada wa chama Bw.Ansbert Ngurumo na ilipo ofisi ya jimbo ya chama wameshindwa kukikomboa kitongoji na hatimaye kimeangukia mikonono mwa CCM, kulikoni?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ansbert Ngurumo awamwagia Pongezi za ushindi kwa Makamanda wa CHADEMA!

    Kweli ushindi mtamu!!!!!!!!!!!!!!! ila nikukumbushe mambo yafuatayo Bw.Ansebert Ngurumo; 1. Kuwa makongamano ya vijana yaliyofanyika Muleba Kasikazini mwezi December, 2012 hayakufika kata Katoke ambapo ndo tumeshinda vijiji viwili vya Katoke na Kahumulo. (Jitahidi yafike pia) 2. Kuwa mpira...
  9. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Wailiza CCM Kagera. Prof. Anna Tibaijuka na Charles Mwijage Wamulikiwa Taa Nyekundu!

    Mbona sielewi maana Bw. Ansibert Ngurumo alipeleka mipira katoke akampatia Mwenyekiti wa Chama wa kata hiyo lakini cha ajabu wakati Chadema wanafungua mkutano wa kampeni, mwenyekiti huyo alikuwa akifundishi mpira uwanjani na mipira hiyo. Kesho yake alihamia CCM na kadi ya Chadema akakabidhi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nape aua Kasulu, awamaliza wapinzani

    NCCR Jipangeni kujibu ila subiri hiyo tar.2/2/2013 si kesho then majibu yatakuwa wazi maana wao ni wataaamu wakuagiza, kuhaidi lakini utekelezaji zeroooooooooooooo!
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inatisha, yaisambaratisha CCM huko Muleba (uchaguzi wa vijiji) - 2015 ni balaa

    Tarehe 27/01/2013 siku ya Jumapili ilikuwa ni mbaya sana kwa CCM katika wilaya ya Muleba Kasikazini ambapo zilifanyika chaguzi mbalimbali za serikari za mitaa za vijiji na vitongoji. Katika chaguzi hizi naweza kusema kuwa CCM imeanguka vibaya sana si tu kwa takwimu za ushindi wa CHADEMA...
Back
Top Bottom