Janja ya wanasiasa wenye njaa kuwa kinyume na wennzie ili aitwe apewe pesa. Nawashauuri mumpuuze na wala msimjibu ili aumbuke kwa kukosa suport ya media zenye akili. Abaki na gazeti la Uhuru, TBC na STAR TV.
CCM waende KIZOTA kuandika katiba mpya. Maana haya ni maigizo, kama walikuwa wanakatiba yao mpya kwa nini waliunda kamati ya Warioba na bunge la katiba? Wanafuja pesa bure. Kama ni maoni ya Chama si tayari walishayapeleka kny kamati? Mbona hata sisi maoni yetu hayapo kny rasimu? Lkn kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.