Recent content by Scarlette

  1. Scarlette

    Hataki kuwasiliana na mimi kisa ana maisha magumu kwa sasa

    sijawahi kuomba hela wala kitu chochote kinachohusiana na kuhudumiwa
  2. Scarlette

    Hataki kuwasiliana na mimi kisa ana maisha magumu kwa sasa

    Habarini za mchana Nahitaji msaada namna ya kutatua hili tatizo, nina boyfriend wangu, tuko kwenye mahusiano mwaka mmoja sasa.. Alikua ameajiriwa ila kuna matatizo yalitokea kazini kwao miezi minne iliyopita ikapelekea aache kazi, mpaka sasa anafanya mishe ndogo ndogo tuu, sasa toka wiki...
  3. Scarlette

    Je, ulitamani kupata nini kutoka kwa X wako lakini hukupata mpaka ile siku mnaachana?

    laki mbili yangu aliyonikopa, hadi tunaachana hakunirudishia
Back
Top Bottom