Recent content by scada

  1. S

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja anatangaza nia trh4 so mnatakiwa macho na masikio kwa kijana mwenzenu kwani ndio suluhisho la matatizo ya Watanzania wa sasa na kizazo kijacho.
  2. S

    Mkoa wa Mbeya ndio nchi ya ahadi?

    Makanisa mengi na maovu mengi,hii sijaielewa vyema huko mbeya.
  3. S

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja hakamatiki jimboni kwake hafanya makubwa kwa kuwapatia visima bora vya maji na wananchu wamshukuru kwa hili vivaaaaa WMN.
  4. S

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja habari ya mijini na vijijini,anafaa kuliongoza hili taifa na kulepeleka linapotakiwa kwa maendeleo,hao wanaomchafua ni hila zao tu ktk harakati za kisiasa.
  5. S

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Wewe kwako maisha magumu si kwa wafugaji ni vitu vya kawaida,twende na ngeleja ni tumaini jipya kwa Watanzania,ni kojana anayejielewa na kujitambua kuhusu mustakabali wa maisha ya wanchi.
  6. S

    Lowassa: Wauaji wa Albino wanyongwe

    Msituchezee akili na huyoEdward wenu,akapumzike time out kwake
  7. S

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja ni tumaini jipya la watanzania,ni mkombozi wa Kanda ya Ziwa na Tanzania yote huyu kijana anafaa kuwa Rais wa nchi yetu ni mtu anayeweza kufafanua jambo na likaeleweka kwa watanzania.
  8. S

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Inshue ni miundombinu na elimu juu ya matumizi sahihi ya barabara.
  9. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Kwa mtazamo Ngeleja anatufaa ktk safari yetu,kwani ni kijana mwenye nguvu na ujasiri wa kutuletea maendeleo na aman bora ktk hili taifa la watu wanyonge.
  10. S

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Hanafaa kuwa mshauri,kwan kipindi ambacho hangefaa ni wakat wa mwalimu nyerere sio kipindi hiki.
Back
Top Bottom