Huwezi kumpuuza tajiri mkubwa mwenye mahusiano makubwa na serikali pammoja chama tawala.
Mtu aliyewahi kuwa Mweka Hazina wa CCM,na Mbunge wa kuchaguliwa Igunga.
Mtu ambaye vitega uchumi vyake ndani na nje ni vikubwa mno.
Mtu mwenye ushawishi hata nchi kubwa za Magharibi.
Polepole ni bwana mdogo...
Tekinologia ni ya kwake,ila aitumie vizuri kwa ustawishaji na maendeleo ya binadamu duniani
Lakini shida kwake sio waarabu,shida ni ndugu yake tena wakaribu Iran.
Iran anamuona Israel kama bwana mdogo aliyemkomboa kutoka utumwani Babylon.
Ila ikija siku Iran na Israel wakapatana kama enzi za...
Nadhani huna hoja,maendeleo sio hotuba ndefu zenye bashasha bali ni vitendo mwanana.
Huyo Mama kaweka vitu ambavyo wanaume na ndevu zao walishindwa kutekeleza sababu ya umimi bila busara.
Kaeni na ujinga huo.
4 years in power maamuzi sahihi yanazaliwa na kutekelezwa.
Friendly Warning kwa Mama...
Wahindi walikuwa mbele ya China baada ya uhuru.Lakini India iliendekeza Uingereza kuitwa Sir,MBE,na utamaduni wa siasa za Magharibi. Vipaji hadimu vya kihindi vikakimbilia Canada,Uingereza, Marekani n.k.Kibaya zaidi wakaendekeza ubaguzi wa dini,koo n.k
Wamekumbuka shuka asubuhi,wanashangaa...
Nadhani kuna mitizamo tofauti.CCM ipo karibu zaidi na China kuliko Marekan na Ulaya Magharibi.
Vipaumbele vya misaada kwa Tanzania kutoka China ni tofauti na Magharibi.
Magharibi nao wana chagamoto nyingi huku wana Trump,huku kuna vita ya Ukraine, Huku wanatishiwa kutawaliwa na Urusi, huku wana...
Tanzania ipi anayozungumza?
Tanzania imeishapitia vipindi vigumu kuliko haya maigizo ya mitandao.
Kipindi cha kuhamisha mamilioni ya watu kwa nguvu kutoka vijiji vya asili na kupangwa kwenye vijiji vya ujamaa,bila huduma za msingi kama maji,chakula,malazi.
Ya pili vita vya Kagera,baada ya vita...
My friend open your eyes.Corana ilikuwepo au hapana?
Kama ilikuwepo mikakati ya msingi ilikuwa kuvaa balakoa,Mkuu hakutaka.
Lakini corona ilipata nguvu kama una maradhi mtambuka.
Na iliondoa watu wengi bila kuzingatia kama upo kabwela,Rais,au mfanyabiashara. Tajiri.
Bashiru yupo high table na vigogo wa nchi.Sio kwamba hawakufanya maadalizi ya mkutano,Bashiru aseme nini na wakati gani.Hiyo ndio CCM yenye protocol.
CCM wana viapo vyao vya kutosaliti chama hata kama hawakubaliani.
Kuna wakati simu ya kitochi ni salama kwa matumizi.
Smart phones sio salama hata kwa mambo ya msingi.Mchina alishalikoroga Operating Systems yake Harmony
Mkuu kwanza ya LPG yaani Liquidfied Petroleum Gas anayotuuzia Rostam Aziz Taifa Gas inatoka nje.
Tabia za gesi hiyo ni tofauti kabisa na LNG yaani Liquidfied Natural Gas.
Itakuwa gharama kubwa sana kwa mtungi wa LNG,ukilinganisha na LPG.
Mara nyingi kwa matumizi ya majumbani inatumika CNG ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.