Mheshimiwa askari Kinana mimi sina shida na kauli yako huo ni wajibu wala haitaki shukurani.Sisi tunataka iwepo sheria ya kuwepo uchaguzi ulio huru na haki bila mkono wa mtu kutumia cheo au wadhifa kufanya kinyume.Pia tumeshuhudia mtu wa kawaida sana anaapishwa kulinda na kutetea katiba lakini...
Nadhani hata TPA yenyewe ipitie transformation.
Watu ndio nguzo kuu ya Bandari zetu.
DP atawatumia zaidi wafanyakazi wananchi LAKINI wenye vigezo vya utendaji uliotukuka,na si muda mrefu watafikia viwango vya DP World.Jambo muhimu Trade union ya wafanyakazi kukaa na menejimenti mpya kuangalia...
Yaani kiwanda kimmoja cha miwa kingeweza kuzalisha by produts zaidi ya 25 kingeingiza mapato mengi,ajira nyingi na bei ndogo sana ya zao la sukari.By product mmoja wapo maarufu ni ethanol inayochanganywa na petrol kuedeshea magari.
Wakisikia Brazil antaka kupanda ndege kuja kuwekeza miwa Bongo...
Viwanda vyetu vimekosa ubunifu.vinazalisha sukari kama ndio zao kuu,lakini viwanda vya Brazil havitegemei sukari katika mapato,vina by products zaidi ya 25 na kufanya bei ya sukari kuwa chini sana.
Hakuna haja ya kuendelea
kuwabeba wavivu hao ni mzigo kwa taifa,haswa mtumiaji wa sukari.
Ndio...
Issue ni deforestation miti isiopungua million mmoja eneo mmoja si haba.
Hilo bwawa limejazwa na maji yaliotoka Dodoma na Singida,ukiongezea Iringa,Morogoro,Pwani n.k
Madhara yakukata miti tunajua wala hakuna haja ya kurudia rudia.Kinachotakiwa kwa sasa ni kupanda mabilioni ya miti katika mikoa...
Umeweka mambo wazi,Julius Kambarage ni Lulu ikibidi tumpe heko.1973 Misri,Syria na Jordan walipambana na Israel vita iliojulikana kama Yom Kippur war.
Mwisho wa vita hivyo Nchi za Kiarabu zilitumia umoja wa wazalisha mafuta OPEC kuwaadhibu wazungu,lakini walioadhirika zaidi ni nchi maskini haswa...
Korea Kusini,China wananyonga rushwa kubwa,ndio dawa.
Unachagua/unateuwa watu wafanye kazi kwa mujibu wa sheria wao wanajikita kupora tu,utafikiri wamesomea wizi tu.
Sheria ya kujenga vituo vya mafuta na gesi zinasemaje?
Hapa majanga kwanza yatokee ndipo utasikia MALAIKA WA TANZANIA WAKILAANI AU KUWAKAMATA WAMILIKI WA VITUO HIVYO.
Utasikia tuna masterplan ya miji na majiji.
Complete nonsense
Kama habari hizo ni kweli basi kuna mushkheli katika CCM ngazi ya taifa,vinginevyo Makonda nae anajua madudu ya wakubwa hao,labda by comparison Makonda yake ni kiduchu!!!
Umaslkini wa maono,umaskini wa kuvumiliana,umaskini wa kuwaona wapinzani ni adui,umaskini wa kila jambo ndio shida ya Afrika.
Lakini inadaiwa waafrika wa zamani ya Mafarao wa Misri,Afrika ya Mansa Mussa wa Mali,Afrika ya Queen Sheba wa Ethiopia n.k ilikuwa juu ya Dunia kimaendeleo.Kwanini...
Watu ni wale wale walianzia kwa mfano KANU ,wakalelewa nayo wakakuwa nayo.Tofauti ya vyama vipya (upinzani)
Ni nani awe kiongozi au viongozi wa serikali.
Lakini ni mapema mno kuzibeza serikali changa zitokonazo na vyama vya upinzani.wape chaguzi 4 mara miaka 5 yaani miaka 20.
Mkuu mbunge angeweka maelezo kamili,na maelezo kamili yanaendana takwimu kama kuna uzembe utabainika tu.
Lakini kuna wasemaji wahusika wa mradi wahojiwe.
Kama haitoshi waziri mwenye dhamana yupo sio Makamba damu ya kunguni ,Speaker amuweke kiti moto kigogo huyo na tujue kama mradi ni white...
Upinzani ni ngumu sana kumshinda CCM kwa mazingira ya sasa,labda miaka 10 ijayo kama marekebisho ya katiba yatafanyika yasiopendelea upande wowote.
Kumshinda CCM sio tu kupata Raisi kutokea upinzani bali kuwa na wabunge wengi kuliko CCM,kitu ambacho ni ndoto kwa sasa.
Makonda kama kweli anakubarika kwao,kwanini alikimbilia kugombea ubunge Kigamboni?
Watu kama Makonda wamepitwa na wakati,tena ni bora ale pensheni yake taratibu kwani wapo watu waliumizwa sana na mtu huyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.