Recent content by sbj cheka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Hii cabs instagram mbona hajapost bidhaa muda mrefu na haionyeshi kama anauza vijora vya pazia
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Hivi hizo chupi za 1000 huwa mnazinunuaje bei ya jumla?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Ikibidi hata mawasiliano yao utupatie nasisi tununue huko
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Na wewe unalanguaje ili uuze kwa hiyo buku? Tusaidie nasisi tuingie huko
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wapenda ujasiriamali

    Pisi kali naomba kama una namba za wauza chupi jumla, pia wale wanaouza vitambaa vya kushona pazia
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuku kuchi hawa ni original?

    Asante kwa ushauri
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuku kuchi hawa ni original?

    Huyo mfugaji yuko wapi nichukue mayai nitotoleshe
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuku kuchi hawa ni original?

    Habari yako, bado unafuga kuchi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuku kuchi hawa ni original?

    Habari yako, bado unafuga kuchi?
  10. S

    JamiiForums Tanzania Biashara gani naweza kufanya kwa mtaji wa laki nane katika mji wa Kahama?

    Mkuu hiyo biasahara ulifungulia kahama? Na ilikuwa sehemu gani
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wauguzi (Nurses) wanalipwa kidogo na wana amani na furaha

    Napia kama ilivyosema eti manesi hawalalamikk kisa mshahara mdogo zingatia pia kuna vikao, visemina na kazi ndogondogo za mashirika vinaingiza hela hivyo na kujikuta mtu hawazii sana mshahara
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wauguzi (Nurses) wanalipwa kidogo na wana amani na furaha

    Jamani mleta post asiwapotoshe kwa kada ya afya mishahara yote inatolewa kwa scale iliyopo asikudanganye mtu eti kasoma maabara ana TGHS A atapokea mshahara mkubwa kuliko nurse wa diploma anayeanza akiwa na TGHS B au mwenye degree anayeanza C hiyo ni mishahara tofauti kwahyo mleta mada umeelewa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Sikupata kwenye huu uzi lkn kuna group moja ndo nilipatia huko
  14. S

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

    Mimi nimepanga kuanziasha biashara ya mafuta ya kupikia alizeti nakuwa nalangua mashineni wanapokamua kisha niuze naomba unipatie mbinu zaidi ili niweze mamimi kusimama kwenye biashara hii na kuifurahia mr. Controla
Back
Top Bottom