Habari wana JF,
Je ndani ya Kanda ya ziwa ni maeneo gani bora kwaajili ya kilimo chenye tija na je mashamba yenye udongo wenye rutba yanapatikana sehemu Gani??
Habari wana JF,
Je kwa sasa kanda ya ziwa ni sehemu zipi zinazoendelea katika ukuaji wa kasi kwenye ujenzi wa nyumba za kisasa za MAKAZI na je viwanja vinapatika kwa size ipi na thamani yake ikoje?
Jamani ndugu zangu wana jf nimekuwa nikijaribu kufuatilia biashara ya vileo al maarufu pombe Kali naona katika industry ya biashara inawapatia sana watu faida.
Mwenye ujuzi anisaidie maswali haya
1.Je kabla ya kufanya biashara hii ni taratib Gani zinatakiwa kufuatwa ?
2. Je mtaji kima Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.