Hivi mungu atujaaribu ili iweje wakat yy ndie ametupa uwezo wa kufanya hayo, brother kiranga ww kweli wa kuuliza swali hili, sasa mfano wa hoja yako inajibiwa na uhalisia wa maisha yetu, mwalimu anatufundisha darasani, tunaandika kwenye madaftar na vitabu tunapewa sasa kuna haja gani ya...