Recent content by Sawyer123

  1. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Ukitembea mitaa yenye miti kama kwa mkuu wa mkoa, unasikia harufu nzuri ya mikaratusi. Ukifika Kabwe, network inakata kwa fujo. Shida vitu vibaya vinafunika Umecatch feelings...hata Dar ain't shit kwa vigezo vya kimataifa. Nimekwambia Tanzania tunavumiliana tu. Kila kitu hatupo serious, kila...
  2. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Hahahaaa.....labda kwa standards za kuvumiliana...hivyo yaani
  3. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Kwamba vigezo vya TAMISEMI ni vigezo vya kimataifa! Tuseme ukweli, tunavumiliana tu na hizo standards za TAMISEMI...Mbeya ain't shit. Ni mvurugano TU. Sehemu chache sana Zina Hadhi. Kote walikoachiwa wananchi wafanye wenyewe ni patashika.
  4. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Pisi Mbeya...hahahahaaa.....zote Zina rangi mbili hadi 4. Uso rangi yake, vidole rangi yake, miguu rangi yake ....ukiona pisi, ni mgeni.
  5. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Mbeya ni shida jamani...khaaaaa! 😅
  6. S

    Hence proved. Mbeya ni kijiji kikubwa

    Nimekaa Mbeya miezi miwili sasa, ila nimenyoosha mikono. Mbeya ni likijiji likubwa, picha linaanza kila mtu kajaa vumbi kuanzia usoni hadi miguuni. Huwezi kutembea Mbeya kwa raha, bajaji zina fujo, highway hakuna sheria zinafuatwa, vumbi kama lote. Utapata mtu kapendeza town, ila chini ana...
  7. S

    Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

    Kila siku
  8. S

    KERO Vitongoji vinavyokizunguka Chuo cha Mzumbe Morogoro ni vichafu mnoo

    Kila siku naokota taka mtaani kwangu nazichoma. Baadae zinaletwa Tena na upepo kwasababu watu hawatunzi taka zao. Na watu wakipita wanakunywa energy drinks zao wanatupa TU popote. Nimeuona uongozi wa Kijiji kuona tutasaidianaje, kwasababu mtu mMoja huwezi badili hali ya mazingira peke Yako...
  9. S

    KERO Vitongoji vinavyokizunguka Chuo cha Mzumbe Morogoro ni vichafu mnoo

    Siyo lazima uone dampo ndo ukubali mitaa ni michafu. Ukitembea tu barabarani utaona kulivyoo karatasi, makopo, na hiyo hali Iko kila sehemu Tanzania ndiyo maana unaona sawa. Chuo hakuna shida, Kuna watu wanafanya usafi. Huku mitaani Sasa. Na labda ukipita hiyo njia ya lami unahisi kote kupo...
  10. S

    KERO Vitongoji vinavyokizunguka Chuo cha Mzumbe Morogoro ni vichafu mnoo

    Habari wanajukwaa!! Kero yangu ni jinsi mazingira ya vitongoji vinavyokizunguka chuo kikuu cha Mzumbe vilivyo vichafu, inakera kweli, unabaki kujiuliza ustaarabu wa mtanzania uko wapi?! Au hadi aje mtu mweupe (kwa hisani, ndipo mazingira yawe masafi)?. Kwanza ungedhani Ile kukaa karibu na chuo...
  11. S

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Ontario, najaribu kutuma PM, napata error msg. Am real stuck.
  12. S

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Patience pays. Been waiting for this to mature.....I started to read this thread right after I my had my baby boy, was still in pain then, but I told myself this is it. To cut long story short, been watching this thread the same way been watching my baby grow....patience pays, and here we are...
  13. S

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario, I am patiently waiting for things to be ready. Pole for the hustle. Nasoma mdogo mdogo, kwenye technical analysis ni habari nyingine.......penye Nia pana njia. Kufanikiwa kwako ndo mafanikio ya familia yangu na jamii yangu. Mungu fanikisha hili.
  14. S

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario, nimejiunga JF kwa sababu ya uzi huu tu. Siku zote nimekuwa nasoma nyuzi za humu kama guest tu, Ila kwa madini haya uliyomwaga, imebidi nijiunge. Nimeanza kusoma kitabu Cha forex for Dummies Kama ulivyorecommend. Nimefungua Demo.....huu moto hauzimiki Hadi kieleweke. Nipo maternity...
Back
Top Bottom