Recent content by sawariya

  1. sawariya

    Leo nimetimiza rasmi miaka miwili toka niwe rasmi abiria wa mwendokasi

    Kama nilivyoanza story yangu leo tarehe 17/06/2025 nimefikisha miaka miwili kabisa yakutumia usafiri wa mwendokasi( BRT ) kama usafiri wangu kwenda na kurudi kazini kila iitwapo leo. Sasa basi nikaona ndani ya siku hii ya maadhimisho hayo nijaribu kuzungumzia yale...
  2. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    kote nimepita,mama john,ihindini,mafiati,mbeya pazuri,pia nimeingia mwailubi,soweto hasa hapa ndio walinichomea nyama kibabilon,uyole,nzovwe,nikaenda mbali zaidi hadi kule rungwe,ushirika kwa mzee Alex Kapulya,nilipoendelea mbele kama vile naenda kasumulu nikakunja kushoto eti wanasema...
  3. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Hapana mimi sio mwongo wala sio masikini
  4. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Mbeya nimerudi tena,kwakuwa ndio nimeingia usiku huu ngoja pakuche nione je baada ya miaka takribani mitatu kuna mabadiliko yoyote😂😂
  5. sawariya

    Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    Nimefurahi sana kusikia sauti yako bint foxy
  6. sawariya

    Mkuu wa Polisi rudisha Askari barabarani, Watanzania watakwisha kwa ajali

    Wewe ni polis kitambi umezoea rushwa mirija imekatwa unatumia ajali kama mchongo ili urudi
  7. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Ndio naondoka zangu chuga bakini na mbeya yenu
  8. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Inawezekana hujanielewa naongelea mwili mkubwa kutunzwa na kamtaji ka buku tatu inawezekana?maana kwa minguvu hiyo siunaenda hata machimboni huko chunya ukavunje miamba?
  9. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Kwani hivyo vilabu vya mdindifu vipo mkoa gani mkuu,au itakuwa niko malawi nini? Acheni masihara na mipango miji mkuu mjini katikati nyumba shaghala baghala hata boda boda haipiti?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alafu nyumba za tope?kwanza Mungu kawajali ukiponda ponda udongo tu...
  10. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Mambo ya uzinzi mimi hapana mkuu,ingawa mitaa ya mwailubi naona watu wanakokotana kirahisi sana,wamekutana dk hata kumi hazijaisha ghafla unaona wanainuka kuingia Penge inn lodge[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inawezekana hiyo huduma inapatikana kwa urahisi zaidi ya nyingine
  11. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Kwani uwepo wa vyakula vingi tayari vinalika bila kuandaliwa?
  12. sawariya

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisahau bajaji[emoji23][emoji23]zimechomelewa ngao utadhani wanaenda serengeti au ngorongoro Tena imening'iniza seat belt za gari kona zote
Back
Top Bottom