Recent content by sawaka frank

  1. S

    Mchezaji wa klabu ya Simba, Mwinyi Kazimoto amshambulia mwandishi wa habari

    Kwani haoni tarime huko mwanamke bila kuchezea anahisi hapendwi
  2. S

    Ramani ya mipango miji yaibuliwa: Open space 7 zauzwa kinyemela Tabata Kimanga darajani

    Mnaoishi tabata angalieni hapo baada ya stend ya Muslim kabla hajafika oil com kuna ofisi ya serikali ya mtaa imejengwa sehemu ya barabara, inahitaji nyundo
  3. S

    Ramani ya mipango miji yaibuliwa: Open space 7 zauzwa kinyemela Tabata Kimanga darajani

    Ikiwa atashindwa kuivunja hali ya kuwa imevunja sheria ktk ujenzi wake!, lukuvi atakuwa ameshindwa kazi labda kuwe kuna kifungu cha sheria kinachoruhusu hilo kwa nyumba za ibada, kama vile ambavyo nitamuona ameshindwa kazi akishindwa kuwavunjia wooote waliojenga mabondeni na sehemu nyingine...
  4. S

    Manispaa ya Shinyanga yapiga Marufuku Ufugaji wa Nguruwe

    Huyo swahiba wako inaonyesha si muislam kaamua kuupaka matope tu, au hajui chochote kuhusu uislam, yeye amekuwa muislam kwa jina lake au karithi kwa wazazi wake,!!, uislam ni dini ya elimu watu wanalazimishwa kusoma!!, angesoma japo kidogo tyu!!, uislam asinge kunywa konyagi wala nguruwe, pia...
  5. S

    Mvua kubwa yanyesha usiku huu jijini Dar es salaam

    Na maeneo ya kitunda imechapa tangu mida ya saa 7 naa,
  6. S

    Fikra kuhusu watu wakimya

    Mengi yaliyoelezwa kuhusu watu wakimya ni kweli, huwa wanaumakini mkubwa ktk maamuzi, pia hawapendi kutangulizwa mbele ktk kuwasimamia watu, huwaheshimu hata wasiowajua bila kujali rika zao, na........
  7. S

    Fahamu yafuatayo kuhusu mdudu mende

    Kama hali iko hivyo kwa nini mabasha wanaitwa mende!!
  8. S

    Angalien chanel ten now

    Mi niko chaka but network zipo ila pesa ya kununua TV haijatimia, tupia japo kwa muhtasar, tujue kinachojir duniani
Back
Top Bottom