Elimu ELimu ELimu ,hiyo ni bailoji ya form One C mkuu.
Ebu Soma kitabu cha ujasusi cha yericko uone jinsi hizo chemical zinavyotumika na majasusi kuumiza adui.....Perfumes/Mafuta ukitumia baadhi ya content zinaingia mwilini ,kuna baadhi ya content unaweza ukafanya ziboost hormones ya aina...
Ukielewa maana ya refractory period hauwezi kusema mtu ana matatizo ya nguvu ya kiume.
Upungufu wa nguvu za kiume na uwezo wa kupiga bao tatu ni vitu viwili tafauti.
Ukishapiga bao kuna kitu kinaitwa refractory period ,ni muda ambao "Dudu la Yuyu" linaamka na kuanza tena shughuli ,RP...
Huawezi Kuelewa kama haujafika hata form One......Tatizo hamna bando hamsikilizi report ya muandishi ,mnadandio hoja za kwenye meme tu,kaeleza jinsi gani hizo bidhaa alizoleta huyo mzungu(Mme wa Noel) na kuwapa bodaboda zinavyoathiri hormones mpaka mtu anakuja kuwa shoga.
Umeelewa mada au una attack watu? Tatizo lako mtu akipinga Ushoga una muattack!! Rudia kuisoma mada kwanza kisha ndiyo utoe maoni kulingana na mada iliyopo na si personal attack.
Muandishi amekuja na report yake iliyoshiba kama zile za Mohamed Ali(KTN) kama unampinga inabidi wewe uje na zako na...
Sasa kama wewe hautaki kushauriwa mbona na wewe unalazimisha watu waamini unachoongea? Itoshe kusema kila mtu abaki na misimamo yake...Kama wewe unaamini katika ushoga endelea kuamini Ushoga na usillazimishe watu wazibuliwe mitaro ila sisi tunaoamini kwamba ushoga siyo sawa unapawa kukemewa...
Siwezi kufanya utafiti wakati Mkemia Mkuu alishafanya huo utafiti kwenye hizo biadhaa alizoleta huyo Mzungu aliyewaoa kina Noel....Muandishi alikuwa na gut ya kumtaja Mmkemia kwasababu alienda kwanza na ndipo akapewa hayo majibu na mkemia ,wewe kama unapinga mtafute muandishi akube hizo bidhaa...
Hivi Dr hauwezi kuongea au kushauri bila kuleta maneno ya kejeli kwa mtoa hoja au mada? Watu wengi wanao-attach mtu kwenye hoja mara nyingin wanajenga defense mechanism ,hivi kulikuwa na ulazima wa kusema muone huyu masikini? Kwani wewe tajiri na mimi masikini tunavuta hewa tofauti? Ukifa wewe...
Dr sorry ulimsikiliza yule muandishi vizuri? Alisema ili kuthibitisha alienda kwa Mkemia mkuu kwa ajili ya kuvipima vile vitu walivyokuwa wanagawa ,na mkemia mkuu alithibitisha vinachochea sana mwanamme kuongezeka hormones za kike.
Nikupe mfano ,kuna hormone inaitwa adrenaline hiyo...
Wazungu hawatupendi sana wa-africa ,lengo lao tuishe wote ili waje kukaa bara hili liliobarikiwa kila aina ya resources.
Kwahiyo wanainduce ushoga barani ,wazungu wana plan za muda mrefu sana wanaweza hata kuwa na plan ya miaka hata 50 huko mbele ,kwa mujibu wa hiyo report ya huyo dada ,hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.