Recent content by savannahgal

  1. savannahgal

    JamiiForums Tanzania Sema ukweli tu hivi usha - sex na wanaume/ wanawake wangapi

    Tuko wengi Kumbe.
  2. savannahgal

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mume wa mtu anajali (care) sana?

    Ebu muulize rafiki yako hivi. Mtoto akikua mkubwa,Inshallah, atamueleza babake yu wapi? La pili...akihitimu miaka ya usoni, hatahisi upweke sana? Mnisamehe kiswahili changu. I am here to learn.
  3. savannahgal

    JamiiForums Tanzania This poem is beyond all relationships

    Ahsante. Good poem there.
  4. savannahgal

    JamiiForums Tanzania Nawapa salamu tu!

    Hahahahah....yaaani,kila mahali nitalipata hili jina Kunguru? Thanks for the info. I will download the app.
  5. savannahgal

    JamiiForums Tanzania Nawapa salamu tu!

    Nashukuru sana Ndugu Zangu. I am still trying to navigate my way here. Hii Forumu yenu iko na nyuzi nyingi sana.:eek:
  6. savannahgal

    JamiiForums Tanzania Nawapa salamu tu!

    Hamjambo, Mie mgeni kwa hili Jukwaa lenu JF. Nilifurahia your stay upande wetu wa KT na vile nimepata habari kwamba JF imerejea nikaamua kujiunga nanyi kwa muda ili nipate kujua mengi kuhusu nchi jirani. Basi naomba msinifurushe mbio.
Back
Top Bottom