Ikiwa ni siku kadhaa tangu Asasi za Kiraia nchini kama sehemu ya wadau katika kuchangia mabadiliko ya sera na sheria mbalimbali kupokea mapendekezo ya marekebisho ya sheria nane tofauti (mapendekezo hayo yalifikishwa kwa Kamati ya Bunge ya katiba na Sheria kwa hati ya dharura), Twaweza...
Teleza ni jina linalomaanisha aina ya ubakaji unaotokea ndani ya kata ya Mwanga Kusini katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Jina hili lilitokana na kwamba, wakati wa usiku kuna wanaume wamekuwa wakiingia kwenye nyumba wanazoishi wanawake na kuwabaka. Watu hawa kabla ya kufika kwa...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.