Recent content by SAUTI YA WANYONGE20

  1. SAUTI YA WANYONGE20

    Walimu wapya mliotamani kupangwa dar.hamuyajui haya

    kwa tasimini ya hala naona changamoto ni nyingi kuliko faida,asilimia kubwa ya mshahara utautumia kulipia kodi ya nyumba,umeme na usafili,,,,,na huwezi kujiendeleza kiulahisi coz pesa inatuka tabu,.,...,.,.,...walimu kimbilieni mikoani mkatumie fulsa ndo mje mjini kujiendeza:wave:
  2. SAUTI YA WANYONGE20

    Usaili Zimamoto kwa tarehe 28&29/03/2014

    tuliopo sitimbi tunapitwa na mengi,Hivi wadau list ya majina ya kwanza na ya pili kwa ajili ya interview yalikua kwenye gazeti gani na yalitoka tarehe ngapi?....nami nijilizishe kama nilikuwemo!!!!!!:wave:
  3. SAUTI YA WANYONGE20

    Kuna nini kati ya tamisemi na wizara ya elimu?

    Mafahali wawili wakigombana.............. takribani wiki moja imeshapita tokea ajira za walimu zitangazwe,na kilichotokea ni kutokupangiwa vituo vya kazi kwa wahitimu wa St john-Dodoma campus...baada ya kufuatilia tamisemi wanasema chuo kilichelewa kupeleka majina ,pamoja na hayo majina...
  4. SAUTI YA WANYONGE20

    PICHA: Rais akiangua kicheko kizito baada ya kuzindua Bunge Maalum la Katiba

    Hivi kati ya selikari 2 na 3,ipi ina faida nyingi na ipi ina hasa nyingi katika jamii yetu.....isije ikawa janja ya wanasiasa kutafuta njia mpya ya kula mema ya nchi...:wave:
  5. SAUTI YA WANYONGE20

    Kwanini tamisemi hawajawapangia vituo vya kazi za ualimu wahitimu wa st john-dodoma campus..?

    Mbona inasemekana walipomaliza tu mahafari wakapewa trancript pamoja na vyeti,kama wangekua wamefeli vyeti wangepata?.....:wave:
  6. SAUTI YA WANYONGE20

    Kwanini tamisemi hawajawapangia vituo vya kazi za ualimu wahitimu wa st john-dodoma campus..?

    Takribani siku tatu zimepita tokea post za ualimu zitangazwe na tamisemi,ila kinachonishangaza ni kutokupangiwa vituo vya kazi wanafunzi waliosomea shahada ya sana na ualimu katika chuo cha St John University of Tanzania(Dodoma campus) .Na tokea watangaze hizo post hawajatoa tamko lolote linalo...
Back
Top Bottom