Recent content by SAUTI YA SINGIDA

  1. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Singida anatumiwa na Lazaro Nyalandu kuhujumu wananchi Singida Kaskazini

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Rashid Mandoa anatumiwa na Lazaro Nyalandu kuhujumu wananchi wa Singida Kaskazini, Imebainika Lazaro Nyalandu akiwa Mbunge na Baada ya kujiuzulu ubunge na kuhamia Chadema ameendelea kumtumia mkurugenzi huyo kuhakikisha ajenda yake ya kupeleka...
  2. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lazaro Nyalandu anavyohujumu watu wake

    Hii thread ya mwezi wa 5. Fuatilia vizuri
  3. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

    Tulifuatilia nyendo zenu mapema sana, ndiyo maana Niliandika hapa Jukwaani watu wakabeza. Kule Arusha mlikutana RICH HOTEL
  4. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lazaro Nyalandu aiacha CCM kimya kimya

  5. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Chadema labda waweke nguvu Longido. Huku Singida pagumu sana.
  6. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Mimi sijatumwa na mtu.
  7. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Mimi sina chama ila nilikuwa simpendi Nyarandu. Kuondoka kwake kila mtu amefurahi sana.
  8. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Mimi nipo Ilongero Singida
  9. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Majibu ya utafiti yatakuwa mabaya. Watu wanatema Povu sana. Nyarandu hakubaliki kama mnavyofikiria. Hawezi kuongeza chochote Chadema. Zaidi Chadema inajipaka matope ya Nyarandu hivyo Chadema inachukiwa.
  10. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatuma Team kufanya Tathmini Singida Kaskazini kama watashinda

    Kichwa cha Habari chahusika. Kuelekea uchaguzi mdogo Jimbo la Singida kaskazini CHADEMA imetuma Team ya watu 6 kwenda kufanya utafiti kama wataweza kulinyakua Jimbo hilo mkoani Singida. Watu hao wameonekana Ilongero. Mtinko. Singida kaskazini hasa Kwenye vijiwe vyenye watu wengi. Wakiwa...
  11. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mzuie Lazaro Nyalandu anavuruga Halmashauri ya Singida

    Hii vita hawezi kushinda na ndio itakuwa mwisho wake kisiasa, Labda akagombee marekani au ukweni Tanga
  12. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Vita uliyoianzisha ya Makao Makuu ya Wilaya hautashinda

    Singida ni ngome Kuu ya Chama cha mapinduzi
  13. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu, Vita uliyoianzisha ya Makao Makuu ya Wilaya hautashinda

    UKWELI KUHUSU MGOGORO WA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI WILAYA YA SINGIDA (a) UTANGULIZI Kwa Takriban kipindi cha wiki Tatu kumekuwa na vuguvugu la mgogoro kuhusu makao makuu ya Halmashauri ya wilaya ya Singida (Ilongero), mgogoro huu unahusu hasa wapi yajengwe makao makuu ya wilaya ya Singida...
  14. SAUTI YA SINGIDA

    JamiiForums Tanzania Bashe: Si Lowassa pekee aliyeonewa CCM

    Bashe ni mbunge wa chadema kupitia CCM, ataisoma Namba muda sio mrefu
Back
Top Bottom