SAUTI YA SINGIDA
Member
- Nov 5, 2016
- 18
- 5
Kichwa cha Habari chahusika. Kuelekea uchaguzi mdogo Jimbo la Singida kaskazini CHADEMA imetuma Team ya watu 6 kwenda kufanya utafiti kama wataweza kulinyakua Jimbo hilo mkoani Singida.
Watu hao wameonekana Ilongero. Mtinko. Singida kaskazini hasa Kwenye vijiwe vyenye watu wengi. Wakiwa Ilongero wamewahoji watu kijiweni kujua nguvu ya upinzani na ushawishi wa Nyarandu jimboni.
Wananchi wamewaambia ukweli kwamba kama Nyarandu angekuwa mgombea wa CCM bac CHADEMA wangeshinda. Ila Kwakuwa Nyarandu kajiuzulu Chadema hawawezi kushinda kwasababu Watu walimchoka Nyarandu kupita kiasi.
Hakuwajali watu, aligeuza Jimbo Kuwa Saccos yake. madharau. Haendi jimboni. Hata hivyo wananchi wameweka wazi kwamba Nyarandu akinadi Chadema hakuna mtu wa kumsikiliza na watu hawataenda hata Kwenye mikutano ya CHADEMA.
Wamesikika wakisema. Huyo Nyalandu kajimaliza milele na hana ubavu Tena kushawishi watu. Tangu tumpe kura 2015 hajawahi kuja hata kushukuru. Nitaendelea kuleta ubuyu hapa hapa.