Recent content by Sauti Nyikani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wakristo mkoa wa Mbeya (TCF)

    Hivi ukimkuta kichaa na mwenye akili timamu wanabishana na kugombana si utajua wote ni vichaa? tatizo sio uislamu wala ukristo kwani dini zote hizi zinaongozwa na misaafu inayolenga kuleta na kukuza haki, amani na upendo toka enzi na enzi. Tatizo ni mijitu inayojifanya ni waumini wakati siyo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Mungu tunaomba amani yako. (Maombolezo 5). Kanisa ni wakati wa kujichunguza na kujitakasa tena kwani yawezekana Mungu ameyaruhusu haya yatokee kwa sababu tumeliacha agano lake badala yake tumejifanyia mambo yetu wenyewe na ndiyo maana uwepo wa Mungu unatuondokea. uislamu wala waislamu sio...
Back
Top Bottom