bINAFSI nina shukuru kwa kuwa na wadau mnao fuatilia swala la haki za watumishi hasa hapo ILLOVO (KSC ).
NAUNGANA NAWE; kuomba apatikane mwanasheria kusaidia kudadavua hii mada. hata hivyo nina shauri jitahidi kuwasiliana na ofisi za watu wa LABOR zilizopo hapo jirani wanaweza kutoa ufafanuzi...
Maombi maalum kwa mungu atupe viongozi makini tayari kwa ukombozi jimbo la mikumi
DR. Salvatory Makweta Mlaga IN A SERIOUS EMANCIPATION PRAYER :hail:
Nimeamua kwa dhati kuwaombea KWA WAZI washiriki wa kura ya maoni ya kupata wagombea Ubunge na Udiwani Jimboni...
DR. Salvatory Makweta Mlaga IN A SERIOUS EMANCIPATION PRAYER :hail:
Nimeamua kwa dhati kuwaombea KWA WAZI washiriki wa kura ya maoni ya kupata wagombea Ubunge na Udiwani Jimboni MIKUMI hasa kupitia CHADEMA.
Ungana nami Dr. Salvatory Makweta MLAGA katika hili ikiwa unahitaji mabadiliko...
pole sana MANU,
Japo unalugha chafu iliyojengwa ktk misingi ya kutojua uhalisi na ukweli ( ujinga) wa mambo kuhusu Jimbo l Mikumi.
umesema; Jay kajenga Chama, nyie ndo mnaanza kubwatuka from nowhere.. Gombeeni udiwani mbunge ni mmoja wengine nendeni kwenye Halmashuri...
jawabu kwako MANU na kwa faida ya wengine
kama kwako kigezo cha kujenga chama ni muhimu, basi wewe ni mtu makini, ulichobakiza ni kuutafuta ukweli kuhusu Jimbo la mikumi ambao kwa muda mrefu haukupatikana ktk mitandao ya kijamii. lakin uko waazi KULE MIKUMI KWA WANA MIKUMI.
Unadhani tu, bila...
MAONI : maoni ni kitu kizuri yakiongozwa na fikra pevu.
Mikumi inahitaji jawabu kuhusu nani anafaa ZAIDI miongoni mwa watia nia kuwa Mbunge ili uwakilishi wake ukalete majibu ya maswali magumu na matatizo sugu ya siku nyingi.
ushabiki na mbwembwe havitatusaidia. Tutulize akili zetu na...
pole Twilumba kwa kukwazika bila kukwazwa,
japo umetumia Lugha Ngumu ila nitakupa maelezo ya kifupi ambayo naamini yatatosheleza haja yako.
KUHUSU ORODHA YA WATIA NIA JIMBONI:
Fahamu kuwa ili mwanachama wa Chadema atambuliwe kama mtia nia anapashwa kupeleka barua ya kuweka nia hiyo Jimboni...
Rosemarie, Kwa taarifa tu, Jackson Makweta aliyewahi kuwa waziri wa Elimu, na wizara nyingine nyingi ALISHA TUTOKA DUNIANI, Ametangulia mbele za haki.
mimi ni Dr. Salvatory Makweta Mlaga, MD.
MWANA wa kizazi kile kile, lakini mimi ni mzaliwa wa Ruaha - Kilombero Sugar , ndani ya Jimbo la...
WAKATI HARAKATI za ukombozi wa jimbo la mikumi zikiwa zimeshika hatamu huku joto la kura ya maoni likizidi kupanda, miongoni mwa wenyeji wa Jimbo hilo kutokana na ukweli kwamba hii ni mara ya kwanza kwa jimbo hilo kupata watu zaidi ya mmoja, walioweka nia dhahiri shahiri kuwania nafasi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.