Recent content by saudina

  1. S

    Naombeni tujadili kidogo hili la Rais Magufuli kugawa pesa

    Unajadili wajibu? Kweli boys kabisa jamaa!
  2. S

    Ziara za Makamu wa Rais na Waziri Mkuu huku Arusha hazina kishindo

    Mkuu usitegemee kishindo Hapo in kazi tu hakuna kuuza sura kama mlivyodhoea na akina Magereza.
  3. S

    Umoja wa Ulaya wataka Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK) Zanzibar

    Seif alikataa mwenyewe wacha aisome namba
  4. S

    Nilimwona Mzee Bakhresa Akitafakari Sana

    Mkuu,ivi ulimwelewa Rais au umesoma Kifaransa? Pale hakulazimishwa ndo maana rais kasema Bakhresa ndani ya siku 5 akubaliane na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
  5. S

    ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

    Hakuna cha maamuzi magumu wala mepesi hapo bali ni sheria tu
  6. S

    Bilion 100 zapotea BOT baada ya Silvanus Likwellile kutemwa!

    Mkuu,bado unawaza kusoma ili usjiliwe tu? Utakufa njaa mjini, chukua hatua. Swala la kupata kazi serikalini huwa lipo lakini lisitufanye tubweteke na kuisubiri serikali ituajili. Ushauri ni kwamba,unapongoja ajira unayosema,usikae tu na kusubiri. Piga kazi ukiendelea kutafuta kazi,japo unaweza...
  7. S

    RC Makonda: Oktoba 01 ni siku ya kupanda miti

    Mkuu,wewe ni Mtanzania? Kwani mvua huanza mwezi wa ngapi hususani kwa Dsm? Hata umwagiliaji hufanywa endapo mvua itachelewa.
  8. S

    NHC: Hatujamuonea Mbowe

    Haswaaa
  9. S

    Bilion 100 zapotea BOT baada ya Silvanus Likwellile kutemwa!

    Tunao jitambua tunapiga kazi ajira baadae na si kukaa na kuisubiri. Kama pesa zinapotea kiasi hicho,kwa nini usijiulize kuwa viwanda vitajengwaje? Muda huu unapinga taarifa za kupotea kwa pesa kana kwamba hutaki ijulikane,unajitambua kweli wewe?
  10. S

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Zanzibar Salum Mwalimu, akamatwa na Polisi kwa kosa la Uchochezi

    Chanzo fake hutoa habari fake,yaani umrona tukio ns umeshindwa kudadisi ukweli ni upi? Au kwa kuwa unajua kuwa katenda kosa kweli ndo umeamua kujifanya hujui sababu ya kukamatwa. Futa povu hilo mdomoni mkuu then uje na habari kamili.
  11. S

    Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

    Kwa jinsi unavyotumika na Mbowe unadhani wote wako hivyo?
  12. S

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    Hata kwa marehemu Wangwe walisema hivyohivyo wakati akina a.k.a walipinga na kupuuza mawazo kuntu slokuwa akitoa ndani ya chama. Lakini kwa mstaafu huyu anahaki ya kumtakia RIP
  13. S

    CCM yabeza matokeo ya uchunguzi kuhusu kutokuwa na imani na "Rais"

    Tafiti zote huwa na bias kwani hapo utasikia,wamehojiwa watu wa riks flani,mkoa flani,ns mengine kama hayo. Hiyo pekee huwa ni bias ya mtafiti. Unategemea matokeo gani kama leo hii mtafiti aamue kufanya utafiti wake na respondent wake wawe wazee wa vijijini?, wawe wazee wa Chato? Wazee wa...
  14. S

    Rais Magufuli: Wanaopinga Serikali yangu ni 'Mawakala wa Shetani'

    Mmh,hao umesema wewe mi cjui kwa upande wangu nmetaja nilowaona sakichukuliwa hatua.
Back
Top Bottom