Recent content by satyam

  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tumechoshwa na vijana wasio wakazi kuugeuza kijiwe cha dawa za kulevya

    Mtaa mzuri lakini utafikiri tunaishi colombia
  2. S

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tumechoshwa na vijana wasio wakazi kuugeuza kijiwe cha dawa za kulevya

    IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu. Vijana hawa Wala siyo wakazi wa nyumba hizi, hushinda maaneo haya kutwa nzima mbaya zaidi Kuna watoto wadogo wameanza kuwauzia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Ushirika club au magott pale posta mpya
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waislam tunakuomba Rais Samia umshauri mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti aache kebehi dhidi ya Waislam

    Kwa mfano hilo lingekuwa kanisa watoto wanafundishwa mazingira mabovu je DC Magoti angelifunga? Je wakristo wangelalamika?Hata kama DC kakosea sawa lakini uongozi wa msikiti ulitakiwa ukamilishe miundombinu kabla ya masomo kuanza.Lililofanyika ni jambo jema Kwa hata wazazi wa watoto wamejua...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Bei za wafanyabiashara wanaotaka kununua korosho ni za ulanguzi

    korosho zimesomba watu
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kutana na wachoraji ramani nguli kutoka chuo kikuu cha Ardhi, kwa majengo, miradi mikubwa na midogo

    Mimi naomba msaada kama kuna mtu wa kunipimia kiwanja changu mnamfahamu tuwasilane hapa
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume muda mwingine sijui hua tunawaza nini, sasa Nay alivutiwa nini na Fey?

    Duka kaka umeua kabisa!
Back
Top Bottom