Recent content by satto

  1. S

    Kwanini matokeo ya PRIVATE CANDITATE huwa si mazuri?????

    Hujui kuwa pass mark yao iko juu zaidi halafu wao wenyewe hawjiandai vizuri wakat mwingine wanasoma ili mradi kusoma tu hawaangalii hata syllabus inataka nini na kusoma kwenyewe wanasoma past paper na wala sio kuelewa somo husika
  2. S

    matokeo ya shule nabii japhet mungira ya efatha sec school s.4197 wamefeli wote kasoro wa2

    Du, Mtume alisahau kuwaombea na kuwapa upako wa kufaulu mtihani wanafunzi wake. Namshauri apitie upya sifa na uwezo wa Walimu wake.
  3. S

    Did Mwalimu die a natural death?

    Hello all nafurahi kusoma maoni yenu lakini kumbukeni kuwa tumeambiwa katika vitabu vitakatifu kuwa hakika kila nafsi itaonja mauti . kwa vyovyote vile kufa ni kufa tu.
Back
Top Bottom