Recent content by sasusawa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vidonda vya tumbo kwa vinavyoanza na wanaosumbuliwa muda mrefu

    aise yaweza kuwa kwel mm kuna dem wangu kaniletea dawa kutoka mosh kwa bibi wa huko kwao aiseee jmn Mungu mkubwa
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kufuatilia kupata Hati ya Kiwanja?

    Ndugu zangu naomba mnipe mwongozo pa kuanzia mimi nimenunua kiwanja kutoka kwenye kampuni inayouza viwanja lakini wao walikuwa bado hawajavirasimisha ila walikuwa waneshavipima wao tu tukuvikata zen wakauza. Nilinunua nikawa na document za mauziano kupitia seeikal za mtaa lakini nahitaji kukata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nataka Kiwanja

    Chukua 7M, linahatimiliki?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nataka Kiwanja

    Hicho cha km2 nina offer ya M3
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nataka Kiwanja

    Unauzaji mkuu
  6. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Kitonka, ukifka waambie namtaka doctor wa magonjwa ya mkojo atakupima hormone na mfumo wa damu wa mashne
  7. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    kuna hospital wanaangalia zote ipo hapo gongolamboto
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed: Tuna kazi kubwa sana kumuandaa kijana atakayefanana na Magufuli

    Ni baba yako labda
  9. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Hao wakorwa walikuwa wajiitaje hospital yao niwatafte waliko nikiwakosa hapo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Vipi wewe uliponea nn tusaidie na sisi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    mkuu naomba unisaidie nayapataje nakuomba sana nielekeze ulikoyapata au unipeleke kwa gharama zangu ntashukuru ,kuu
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu (BANK) BONUS ACCOUNT

    Naomba unieleweshe mfano nikadraw ikabaki mil 20 mfano tareh 01/03/ nikaja tena kudraw n mwez wa nne tareh moja je bonus nitapata kuanzia mwezi wa tatu au watahesabu kuanzia wa nne?
Back
Top Bottom