Recent content by Sasliver

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Kumbe watoto wa Sheikh Yahaya Hussein wapo wakiendeleza utabiri wa baba yao . Nitakutafuta unitabirie nyota yangu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake wapinga kuhojiwa na Wakili Kibatala, wadai wao ndio Wana haki ya kuihoji CHADEMA

    Hivi kuna mtu yeyote jasiri ambaye anakubali kuhojiwa na Kibatala
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Orodha ya Wakuu wa Idara wote ifuatilie kwa Katibu Mkuu TAMISEMI
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

    Makosa unayaona wewe usiye penda maendeleo ya Nchi 1. Miradi yote iliyoachwa na mtangulizi yake anaendeleza yote 2. Miradi mipya ameanzisha 3. Pato kutokana na utalii limeanza kuongezeka kwa kasi 4. Nyongeza ya mishahara 5. Demokrasia imefunguka 6. Kwa kifupi anaupiga mwingi
  5. S

    JamiiForums Tanzania CCM iwaambie Wananchi ilivipataje viwanja inavyovimiliki wakati haikuvijenga bali wananchi walichangishwa

    Serikali acha ivikarabati . Kwani wanaoingia uwanjani kushuhudia michezo ni watanzania wote pasipo ubaguzi kivyama . Rai ni kuwa vyama vyote vitakapo hitaji kuvitumia viwanja hivyo kwa mikutano ya kisiasa visinyimwe , kwani hata Wana CCM wengine huhudhuria
  6. S

    JamiiForums Tanzania Intaneti imezidi kupanda Bei

    Hapo sijui tuseme nani anaupiga mwingi kati ya 1. Waziri wa habari 2. TCRA 3. Kampuni za Mawasiliano 4. Watumiaji wa mitandao
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa milioni 15 zachangwa kumuokoa Sabaya, asanteni Watanzania

    Hakimu anajua kiasi kilichochangia . Ole wao watoe pungufu yake . Itakula kwao
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

    1. Kuandika Ruksa 2. Kuhariri Ruksa 3. Siku umepanga kwenda kuchapisha , sana salama na familia yako
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM imeonesha demokrasia kuhesabu kura kwa uwazi, tume ya uchaguzi ifanye hivyo

    Tena uwazi wa aina hiyo ni wa kuigwa , maana upigaji kura kila mtu anakuona , kutumbukiza kura sandukuni bila kukunjwa na sanduku unaloweka kura linajulikana wapigaji kura wake wote
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa miamba? Mbona hawajatia nia wala kuchukua fomu?

    K KWA MUJIBU KUTOKA KWA WANAFAMILIA WAKE KUPITIA CLOUD FM , DR SHIKA NI MGONJWA YUKO KIJIJINI KWAO .
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dkt. Hussein Mwinyi kisiwani Pemba (Julai 19, 2020): Yajayo yanafurahisha

    Leo nimeshinda ndani tu kumbe napitwa na mambo mengi ya kidunia . Mnijuze tafadhali kipindi cha kampeni kimefika nikasikililize sera ili nipate mwanga wa kuchagua kiongozi anifaae maana mimi sio muumini wa chama bali ni uwezo wa mgombea kunishawishi . Ndiyo maana katika sanduku la kura naweza...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nicholaus Ngassa, mtia nia Jimbo la Igunga

    Hizo sifa zote za nini , ungetuambia unajua kusoma na kuandika na utatuachaje
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CHADEMA Ubungo ahamia ACT Wazalendo kwa madai kwamba CHADEMA kuna ubakaji wa Demokrasia na upendeleo kwa Boniface Jacob

    Wewe diwani unashindana na meya ,umefanya uamuzi was maana kubali yaishe
Back
Top Bottom