Daa. Mkuu una machungu sana nimekuelewa vema kwa maana hiyo wa zanzibar kuna upande fulani wanalazimishwa kuuegemeawa stendi,
Hii pia ndefu:
SIASA ZA PEMBA NA MUUJIZA UNAOJITOKEZA NA KUPOTEA
"Binadamu tunapenda muujiza kwa kuwa inarahishisha kufikiri.
Kwanza nataka kukutoa hofu juu yangu ili nikufahamishe kuwa mimi hupenda kuukubali ukweli unapodhihiri na hii ndiyo sifa inayomnyanyua binadamu yeyote yule akathaminika achilia mbali wale wanojiita wasomi.
Ukisikiliza kile ukipendacho ukaukataa ukweli heshima ya usomi wako itakwenda chini.
Nimeangalia ‘’clip’’ ya mapokezi makubwa aliyopata Dr. Hussein Mwinyi Pemba.
Niliyoyaona kwenye clip ni tofauti ya hali ya Pemba kama tunavyosikia.
Hali ya Pemba hivi sasa ni kuwa tunaelezwa na wananchi wa Pemba wenywe kuwa wananyimwa vitambulisho ili wasipige kura.
Nani anawanyima Wapemba vitambulisho na kwa sababu gani?
Ipo clip hapa ya tatizo hili mimi kwa kurahisisha utambulisho nimeipa jina "Ngoma za Vita Zinapashwa Moto Huu ni wakati wa Masheikh wa Zanzibar Kuzungumza."
Ukisikiliza ‘’clip’’ hii moyo utaingia hofu ya hayo yanayoweza kutokea.
Haya yanafahamika hayahitaji maelezo zaidi.
Miezi michache iliyopita tumeona CUF ilivyokufa Zanzibar kwa dakika moja au ukipenda nukta moja katika "Shusha Tanga Pandisha Tanga Safari Iendelee..."
Wimbi hili nimetafuta mfano wake pengine duniani sijaona.
Maalim kahama na wanachama wote na ofisi zao mitaani kwa dakika moja na kuzigeuza ofisi zote kuwa zambarau.
Wanachama, ofisi zao na bendera ndiyo "symbols" za nguvu ya chama.
Chama kikiwa hakina vitu hivi kama viaashiria basi jua hapo hakuna chama.
Katika hali kama hii sijaona juhudi za CCM kukijenga chama chao Pemba au hata Unguja au kusikia hotuba za kuwavutia wale waliokuwa wanawapinga kuvutika kuwaunga mkono, ila nilichosoma ni taarifa kuwa Dr. Mwinyi apokelewe na yaorodheshwe majina ya watakaotoka kumpokea.
Huu ni ujumbe kutoka serikalini.
Hiki ni kichekesho.
Haiwezekani kujenga chama chochote kwa namna hii au kuhamasisha wanachama kwa mtindo huu.
Chama hakijengeki kwa vitisho vya "roll call," chama kinajengwa kwa mapenzi na ari ya wanachama wenyewe.
Lakini hapa ndipo ulipo muujiza wenyewe.
Dr. Hussein Mwinyi kapata mapokezi makubwa Pemba kama ‘’clip’’ inavyoonyesha.
Binadamu tunapenda miujiza kwa kuwa huhitaji kufikiri sana kujua kwa nini kishowezekana kimewezekana.
Nayasema haya nikitazama historia ya TANU vipi watu masikini na wasio na elimu walivyounda TANU kikawa chama kikubwa cha kupigiwa mfano Afrika nzima.
Chini ya mwaka mmoja TANU na Nyerere wakawa wanafahamika Tanganyika nzima na wananchi wanakiunga mkono chama.
Wanachama wakitoa nyumba zao kufanya ofisi za TANU.
Walifanya haya kwa ari na mapenzi sio kwa vitisho.
Hebu tuangalia hali ya leo mapokezi ya Dr. Hussein Mwinyi.
Muujiza gani umefanyika kuwaleta wananchi wa Pemba ngome ya ACT Wazalendo kujitokeza kwa wingi kiasi hiki?
Ni hii hofu ya jina kutoonekama katika daftari la mahudhurio au ni mapenzi ya dhati kwa Rais ‘’Mtarajiwa?’’
Au ni silka ya binadamu ile "cunning, wily people," watu walio na uwezo mkubwa wa ghilba na kulaghai.
Nasema haya kwa sababu CCM Pemba haijaweza kupata kiti hata kimoja katika miaka yote ya uchaguzi kutokea 1995.
Sasa cha kujiuliza ni hao washangiliaji wametokea wapi?
Kuna kitabu "The Ugly American," ni ‘’novel’’ na ‘’movie’’ kuhusu watu wa Mashariki ya Mbali katika tabia zao za ujanja wa kujifanya wajinga na wewe ukaamini kuwa ni wajinga kumbe ile ni mtego wao wanatega wanapokutana na adui.
Yawezekana tuliyoshuhudia ni katika sura mbili za Pemba?
Ikiwa yapo yaliyofanywa na CCM Pemba kupata wanachama na kuungwa mkono mimi yamenipita ningependa sana kujifunza kutoka kwenu kwani miujiza haifanyiki tena siku hizi.
Kila cha kustaajabisha lazima tukieleze kisayansi."
Acha hizo wewe kila zama na kitabu chake. Wa pemba wanajua haki zao, mmezoea kuwajengea imani kwamba wanabaguliwa na serikali ili muendelee kuwatumia. Safari ni maendeleo hakuna siasa tena.Dr.Mwinyi ni mtaalamu wa Afya ya binadamu ni mwanasayansi, hana longolongo.Waliozoea kuwatumia kisiasa wale wana digrii za siasa na propaganda utendaji kwao ni ZERO. ZAnzibar inakwenda Kupaa kiuchumi.Stay tunedwa stendi,
Hii pia ndefu:
SIASA ZA PEMBA NA MUUJIZA UNAOJITOKEZA NA KUPOTEA
"Binadamu tunapenda muujiza kwa kuwa inarahishisha kufikiri.
Kwanza nataka kukutoa hofu juu yangu ili nikufahamishe kuwa mimi hupenda kuukubali ukweli unapodhihiri na hii ndiyo sifa inayomnyanyua binadamu yeyote yule akathaminika achilia mbali wale wanojiita wasomi.
Ukisikiliza kile ukipendacho ukaukataa ukweli heshima ya usomi wako itakwenda chini.
Nimeangalia ‘’clip’’ ya mapokezi makubwa aliyopata Dr. Hussein Mwinyi Pemba.
Niliyoyaona kwenye clip ni tofauti ya hali ya Pemba kama tunavyosikia.
Hali ya Pemba hivi sasa ni kuwa tunaelezwa na wananchi wa Pemba wenywe kuwa wananyimwa vitambulisho ili wasipige kura.
Nani anawanyima Wapemba vitambulisho na kwa sababu gani?
Ipo clip hapa ya tatizo hili mimi kwa kurahisisha utambulisho nimeipa jina "Ngoma za Vita Zinapashwa Moto Huu ni wakati wa Masheikh wa Zanzibar Kuzungumza."
Ukisikiliza ‘’clip’’ hii moyo utaingia hofu ya hayo yanayoweza kutokea.
Haya yanafahamika hayahitaji maelezo zaidi.
Miezi michache iliyopita tumeona CUF ilivyokufa Zanzibar kwa dakika moja au ukipenda nukta moja katika "Shusha Tanga Pandisha Tanga Safari Iendelee..."
Wimbi hili nimetafuta mfano wake pengine duniani sijaona.
Maalim kahama na wanachama wote na ofisi zao mitaani kwa dakika moja na kuzigeuza ofisi zote kuwa zambarau.
Wanachama, ofisi zao na bendera ndiyo "symbols" za nguvu ya chama.
Chama kikiwa hakina vitu hivi kama viaashiria basi jua hapo hakuna chama.
Katika hali kama hii sijaona juhudi za CCM kukijenga chama chao Pemba au hata Unguja au kusikia hotuba za kuwavutia wale waliokuwa wanawapinga kuvutika kuwaunga mkono, ila nilichosoma ni taarifa kuwa Dr. Mwinyi apokelewe na yaorodheshwe majina ya watakaotoka kumpokea.
Huu ni ujumbe kutoka serikalini.
Hiki ni kichekesho.
Haiwezekani kujenga chama chochote kwa namna hii au kuhamasisha wanachama kwa mtindo huu.
Chama hakijengeki kwa vitisho vya "roll call," chama kinajengwa kwa mapenzi na ari ya wanachama wenyewe.
Lakini hapa ndipo ulipo muujiza wenyewe.
Dr. Hussein Mwinyi kapata mapokezi makubwa Pemba kama ‘’clip’’ inavyoonyesha.
Binadamu tunapenda miujiza kwa kuwa huhitaji kufikiri sana kujua kwa nini kishowezekana kimewezekana.
Nayasema haya nikitazama historia ya TANU vipi watu masikini na wasio na elimu walivyounda TANU kikawa chama kikubwa cha kupigiwa mfano Afrika nzima.
Chini ya mwaka mmoja TANU na Nyerere wakawa wanafahamika Tanganyika nzima na wananchi wanakiunga mkono chama.
Wanachama wakitoa nyumba zao kufanya ofisi za TANU.
Walifanya haya kwa ari na mapenzi sio kwa vitisho.
Hebu tuangalia hali ya leo mapokezi ya Dr. Hussein Mwinyi.
Muujiza gani umefanyika kuwaleta wananchi wa Pemba ngome ya ACT Wazalendo kujitokeza kwa wingi kiasi hiki?
Ni hii hofu ya jina kutoonekama katika daftari la mahudhurio au ni mapenzi ya dhati kwa Rais ‘’Mtarajiwa?’’
Au ni silka ya binadamu ile "cunning, wily people," watu walio na uwezo mkubwa wa ghilba na kulaghai.
Nasema haya kwa sababu CCM Pemba haijaweza kupata kiti hata kimoja katika miaka yote ya uchaguzi kutokea 1995.
Sasa cha kujiuliza ni hao washangiliaji wametokea wapi?
Kuna kitabu "The Ugly American," ni ‘’novel’’ na ‘’movie’’ kuhusu watu wa Mashariki ya Mbali katika tabia zao za ujanja wa kujifanya wajinga na wewe ukaamini kuwa ni wajinga kumbe ile ni mtego wao wanatega wanapokutana na adui.
Yawezekana tuliyoshuhudia ni katika sura mbili za Pemba?
Ikiwa yapo yaliyofanywa na CCM Pemba kupata wanachama na kuungwa mkono mimi yamenipita ningependa sana kujifunza kutoka kwenu kwani miujiza haifanyiki tena siku hizi.
Kila cha kustaajabisha lazima tukieleze kisayansi."
Lu...Acha hizo wewe kila zama na kitabu chake. Wa pemba wanajua haki zao, mmezoea kuwajengea imani kwamba wanabaguliwa na serikali ili muendelee kuwatumia. Safari ni maendeleo hakuna siasa tena.Dr.Mwinyi ni mtaalamu wa Afya ya binadamu ni mwanasayansi, hana longolongo.Waliozoea kuwatumia kisiasa wale wana digrii za siasa na propaganda utendaji kwao ni ZERO. ZAnzibar inakwenda Kupaa kiuchumi.Stay tuned
Mwalim Seif amekuja mara nyingi! Huyo ni msindikizaji tu!Mjulishe tu kuwa Maalim Seif anakuja...
SawaMwalim Seif amekuja mara nyingi! Huyo ni msindikizaji tu!
Wengi wametoka bara wamelipiwa nauli na chakula kwenda kuunga mkonoAcha propaganda,kuna barua humu imesambaa ikiwataka watumishi wa serekali wafike na wavae nguo kijani ,wasipovaa mnawatimua kazi ona hao polis kwenye picha yako wakishiriki upokeaji
Acha propaganda,kuna barua humu imesambaa ikiwataka watumishi wa serekali wafike na wavae nguo kijani ,wasipovaa mnawatimua kazi ona hao polis kwenye picha yako wakishiriki upokeaji
Inategemea na tume, kama ile ya jecha ni kinyume chake, eti mwenyekiti wa tume na yeye kachukua fomu ya kugombea.Uchaguzi huanzj wakati wa kuhesabu kura na humalizika wakati wa kutangaza matokeo- Kinana
Nimekuelewa sana mkuu ubarikiwe kwa uchambuzi mzuri.Joyo...
SIASA ZA PEMBA NA MUUJIZA UNAOJITOKEZA NA KUPOTEA
Binadamu tunapenda muujiza kwa kuwa inarahishisha kufikiri.
Kwanza nataka kukutoa hofu juu yangu ili nikufahamishe kuwa mimi hupenda kuukubali ukweli unapodhihiri na hii ndiyo sifa inayomnyanyua binadamu yeyote yule akathaminika achilia mbali wale wanojiita wasomi.
Ukisikiliza kile ukipendacho ukaukataa ukweli heshima ya usomi wako itakwenda chini.
Nimeangalia ‘’clip’’ ya mapokezi makubwa aliyopata Dr. Hussein Mwinyi Pemba.
Niliyoyaona kwenye "clip" ni tofauti ya hali ya Pemba kama tunavyosikia.
Hali ya Pemba hivi sasa ni kuwa tunaelezwa na wananchi wa Pemba wenyewe kuwa wananyimwa vitambulisho ili wasipige kura.
Nani anawanyima Wapemba vitambulisho na kwa sababu gani?
Ipo "clip" hapa ya tatizo hili mimi kwa kurahisisha utambulisho nimeipa jina "Ngoma za Vita Zinapashwa Moto Huu ni wakati wa Masheikh wa Zanzibar Kuzungumza."
Ukisikiliza ‘’clip’’ hii moyo utaingia hofu ya hayo yanayoweza kutokea.
Haya yanafahamika hayahitaji maelezo zaidi.
Miezi michache iliyopita tumeona CUF ilivyokufa Zanzibar kwa dakika moja au ukipenda nukta moja katika "Shusha Tanga Pandisha Tanga Safari Iendelee..."
Wimbi hili nimetafuta mfano wake pengine duniani sijaona.
Maalim kahama na wanachama wote na ofisi zao mitaani kwa dakika moja na kuzigeuza ofisi zote kuwa zambarau.
Wanachama, ofisi zao na bendera ndiyo "symbols" za nguvu ya chama.
Chama kikiwa hakina vitu hivi kama viaashiria basi jua hapo hakuna chama.
Katika hali kama hii sijaona juhudi za CCM kukijenga chama chao Pemba au hata Unguja au kusikia hotuba za kuwavutia wale waliokuwa wanawapinga kuvutika kuwaunga mkono, ila nilichosoma ni taarifa kuwa Dr. Mwinyi apokelewe na yaorodheshwe majina ya watakaotoka kumpokea.
Huu ni ujumbe kutoka serikalini.
Hiki ni kichekesho.
Haiwezekani kujenga chama chochote kwa namna hii au kuhamasisha wanachama kwa mtindo huu.
Chama hakijengeki kwa vitisho vya "roll call," chama kinajengwa kwa mapenzi na ari ya wanachama wenyewe.
Lakini hapa ndipo ulipo muujiza wenyewe.
Dr. Hussein Mwinyi kapata mapokezi makubwa Pemba kama ‘’clip’’ inavyoonyesha.
Binadamu tunapenda miujiza kwa kuwa huhitaji kufikiri sana kujua kwa nini kishowezekana kimewezekana.
Nayasema haya nikitazama historia ya TANU vipi watu masikini na wasio na elimu walivyounda TANU kikawa chama kikubwa cha kupigiwa mfano Afrika nzima.
Chini ya mwaka mmoja TANU na Nyerere wakawa wanafahamika Tanganyika nzima na wananchi wanakiunga mkono chama.
Wanachama wakitoa nyumba zao kufanya ofisi za TANU.
Walifanya haya kwa ari na mapenzi sio kwa vitisho.
Hebu tuangalie hali ya leo mapokezi ya Dr. Hussein Mwinyi.
Muujiza gani umefanyika kuwaleta wananchi wa Pemba ngome ya ACT Wazalendo kujitokeza kwa wingi kiasi hiki?
Ni hii hofu ya jina kutoonekama katika daftari la mahudhurio au ni mapenzi ya dhati kwa "Rais Mtarajiwa?’’
Au ni silka ya binadamu ile "cunning, wily people," watu walio na uwezo mkubwa wa ghilba na kulaghai.
Nasema haya kwa sababu CCM Pemba haijaweza kupata kiti hata kimoja katika miaka yote ya uchaguzi kutokea 1995.
Sasa cha kujiuliza ni hao washangiliaji wametokea wapi?
Kuna kitabu "The Ugly American," ni ‘’novel’’ na ‘’movie’’ kuhusu watu wa Mashariki ya Mbali katika tabia zao za ujanja wa kujifanya wajinga na wewe ukaamini kuwa ni wajinga kumbe ile ni mtego wao wanatega wanapokutana na adui.
Yawezekana tuliyoshuhudia ni katika sura mbili za Pemba?
Ikiwa yapo yaliyofanywa na CCM Pemba kupata wanachama na kuungwa mkono mimi yamenipita ningependa sana kujifunza kutoka kwenu kwani miujiza haifanyiki tena siku hizi.
Kila cha kustaajabisha lazima tukieleze kisayansi.