Zile ni shule ambazo hua zinachukua wanafunzi wenye ufaulu wa juu..hakuna kingine zaidi ya hcho.
Kwa form one kila mkoa unapewa nafasi za wanafunzi kwenda kwenye hzo shule..kwa mfano unaweza ukawa na marks nyingi kwenye mkoa fulani kuliko mwanafunzi wa mkoa mwingine na bado usiende kama nafasi...
Natafuta mwanamke ambae Mungu akipenda aje kua mke wangu
Sifa
1.Awe na uhitaji wa kuingia kwenye mahusiano yatayopelekea ndoa
2.umri 20-27yrs
3.Asiwe na watoto
4.Awe mkristo
Sifa zangu
1.Mkristo
2.Nina kipato cha kawaida
3.umri 28yrs
Mengine tutaelezana pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.