Recent content by Sascrofa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wilaya Kaliua na sakata la Mwalimu Johari kupigwa ofisini

    Unapopewa taarifa ili ulete humu unapaswa ujiulize maswali muhimu yafuatayo; 1.Huyo Johari anayelalamika kulazimishwa penzi ana sura gani hasa ya kuvutia? 2.Johari amekuwa akichanganya mambo ya kitaalamu na siasa. 3 Johari ana stress kubwa ya kutapeliwa fedha na taasisi fulani ya fedha ambayo...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hoja mfu ambazo zimesababisha upinzani udharaulike na kukosa nguvu

    Mwambie huyo kada anayetumiwa kwa maslahi yao
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Manager Tanesco Kanda ya Kilimanjaro naona kazi imekushinda sana.Line ya umeme katika Kijiji cha Lyamungo sinde ipo chini kiasi ambacho hata mtoto wa chekechea anaweza kugusa nyaya hizo akiwa amesimama.Sijajua tatizo ni nn kwani hadi leo kuna nguzo zimelala takribani miaka 4 bila marekebisho...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kaliua: Watumishi wa serikali wanalazimishwa kujiandikisha!

    Mkuu wa idara ya utumishi Kaliua ni shida sana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kaliua: Watumishi wa serikali wanalazimishwa kujiandikisha!

    Noma sana
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mh Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom