Recent content by SARAW2

  1. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nakumbuka kuwaandikia hapa tatizo la Mangamba chini iliyoko manispaa ya Mtwara kutopewa umeme zaidi ya Mwaka sasa. Nguzo na baadhi ya nyaya zimewekwa na kila zinapofika nyaya za kumalizia kujenga mradi wanazipeleka maeneo mengine kwa sababu hakuna transfoma. Tumefuatilia mara nyingi mkoani na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimeanza kuwa na mashaka na haya mnayosema ya huduma bora hayapo kivitendo. Mtwara kuna eneo liko km 4 tu kutoka mjini njia ya kuelekea airport linaitwa Mangamba. Nyumba zaidi ya 150 hazina umeme na wameomba kuletewa mradi wa umeme tangu mwaka 2015. Mwaka jana mwezi feb na march Tanesco...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Kipindi cha jahazi nilikipenda sana lakini walipoanza kuonyesha unanga wao kwa chama tawala hasa wanapozungumzia siasa hamu ya kuwasilikiza iliisha kabisa. Nilitegemea mwanahabari mkongwe kama Kibonde kuwa neutral lakini alinishangaza katika mdahalo wa Kikwete wakati wa kugombea uraisi alianza...
Back
Top Bottom