Wapendwa mm ni mwenyeji wa dar, lakini kwa sasa nipo Bukoba nahitaji kurudia mitihani anaefahamu kituo kizuri cha kurudia mitihani naomba anisaidie kwa hapa bukoba
Wapendwa habari zenu, nina cheti cha veta cha computer and secretary je naweza kujiunga na Chuo nipate diploma? Maana nimeambiwa kuwa vyeti vya veta huwa havikubaliwi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.