Recent content by Saoka

  1. Saoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama nimewahi kuwakosea wanaume naomba mnisamehe! Ni kweli mnapaswa kuitwa Wanaume

    Tengeru kubwa upo sehemu gani binti
  2. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Supu haishuki kabisa yani
  3. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Acha kuropoka mzee mitungi napigia Home
  4. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Sawa mkuu
  5. Saoka

    Changamoto ni hiyo sikuweka msosi wakutosha kabisa
  6. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Hata supu haishuki jmn
  7. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Kabisa yaani nalazimisha chakula lakni hakishuki zaidi ya maji tu
  8. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Ngoja nitafute supu tu
  9. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Sawa mkuu
  10. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Konyagi,valuu na bia
  11. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia

    Wakuu habari, Pombe inanitesa toka juzi nilichanganya pombe kali,na Mabia yani nipo kitandani tu hapa sielewi kichwa kina mawenge ndoto za ajabu ajabu, Wazoefu mtupe mbinu jamani nini chakufanya kurudi kwenye hali ya kawaida NATAMANI NIACHANE NAYO KABISA HII KITU NATESEKA MNO SIKU YA 3 LEO...
  12. Saoka

    JamiiForums Tanzania Kuvaa kitu kipya kikiwa na label yake ni ushamba au fashion??

    Wadau nisaidieni hili Hivi kuvaa raba na haka kalebo ka plastic ni ushamba au ndo fashion yake Wataalam wa fashion tupeni uzoefu wenu
  13. Saoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hali ya kua na mawazo baada ya kufanya ngono

    Hii hali inatesa sana aisee
  14. Saoka

    JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

    Huyu atakuwa mtendaji
Back
Top Bottom