Recent content by SANZIKI

  1. SANZIKI

    Dakika ya 89: Freeman Mbowe 0 vs Halima Mdee 5

    Nothing! Ahead
  2. SANZIKI

    GE2020 Dkt. Magufuli achukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania Ofisi za NEC

    Kuchagua Magufuli 2020 Nikuchagua Uminywaji wa Vyombo vya habari. Nikuchagua watoto wetu wanaohitimu Vyuo Vikuu waendelew kukaa nyumbani bila Ajira. Ni kuchagua Ukabila wa wazi. Nikuchagua Ukandamizwaji wa Mihimili ya Bunge na Mahakama
  3. SANZIKI

    Tofauti ya Dini katika mapenzi

    Umesahau Kabila. Kuna Kabila la Wamasai wao wanataka waoane wao kwa wao... Kuna hawa wanajiita Wanyarwanda nao huleta ukabila kwenye Mapenzi
  4. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Ni Sahihi kabisa Dr. SSEBUYOYA kaongoza Kura za Maoni. Kikundi hiki kiko Strategically sana hakitoi pesa kama maharage.... mara nyingi hukupa nguvu zaidi ya kipesa unapopita kura za maoni. Unapokuwa umepita Kura za Maoni kikundi hiki hukupatia Pesa kati ya Tsh. 20-40 Millions ili ufanye...
  5. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Kikundi hiki kilianzishwa na watu wachache. Watu hawa wana miliki Biashara na wao wapo tayari kukusaidia pesa kwaajili ya Uchaguzi kwa Makubaliano maalumu
  6. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Nakuelewa Malaika Mkuu
  7. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Makosa ya kiuandisha kaka
  8. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Uchaguzi wa Mwaka huu kuna 1- James Kasusula 2- King Ezrah Na wengine wawili ambao natafta majina yao halisi......... Makubaliano ya Albatross ni kutoa 20 kila mwaka
  9. SANZIKI

    Biharamulo inatafunwa na kikundi cha watu wachache

    Habari ya Muda huu wadau wa Maendeleo ya Biharamulo. Nimekaa kimya kwa Muda Mrefu juu ya Kikundi kinajiita Albatross kilichojitengeneza kwaajili ya jimbo la Biharamulo. Leo nitazungumza ilivokua kwa Mwanachama Mmoja aliyejitoa. "Baada ya kupoteza nafasi ua Ubunge Mwaka 1990 Mh. JPM ilibidi...
  10. SANZIKI

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Baada ya kugundua kuwa Mwalimu Felix anapata ushawishi Mkubwa alimfukuza kazi
  11. SANZIKI

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Upo sahihi kaka. Hatahivo TAKUKURU na yenyewe ilishawekwa Mfukoni muda Mrefu.
  12. SANZIKI

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Mchuano Mkubwa ulikua kwa Mr. Denis aliyekua Katibu wa Mbunge aliyemaliza muda wake Ndg Anna Tibaijuka. Mchuano huu ulikua dhidi ya Mwalimu Felix Bwahama ambae alikua Mkuu wa Shule ya Babro Johnson (KAJUMULO) inayomilikiwa na Anna tibaijuka. Wagombea walikua wengi lakini wenye Nguvu walikua...
  13. SANZIKI

    GE2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

    Wote hawa wanataka kumuondoa Halima James Mdee. Si Mpiga kura wa kawe lakini kwa ninavyoifahamu kawe kumtoa Mdee inahitaji akili ya upati
Back
Top Bottom